Charlz ze son conscious
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 563
- 856
Mmmmh bado tuna safari
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mapema sana mdauHii timu Bado na msimu huu hata top 4 hatumo
Nadhani Arteta mbinu zake zimezoeleka
Tuangalia namba ya kumpata coach mpya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mapema sana mdauHii timu Bado na msimu huu hata top 4 hatumo
Nadhani Arteta mbinu zake zimezoeleka
Tuangalia namba ya kumpata coach mpya
Mechi ya tatu tunakuja pale kwenu....tuone mtatufunga kwa kupitia wapi kuku nyny😀😀....tutaotewa na kina Aston villa huko sio hawa traditional big six...Leo ndo ilikuwa siku ya kufungwa lakini wapi...Mbeumo ni Mbeumo tu....Cunha a.k.a Kunya ni walewale tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mapema sana mdau
Hatuna kiungo mkabaji,tutateseka sana msimu huuTop 4 mwaka huu kuna kazi.. Unaweza kusema ni mapema sana lakini Man utd mbali na kupoteza lakini kwasasa ni timu nyingine kabisa.. Unaona kuanzia katikati mpaka mbele wanaelewana na kuna kitu wanatafuta.. Ni vile leo bahati haikuwa kwao.
Mkuu hawa ni nguvu ya msimu mpya tu....ngoja tufike mwezi 12 ndo utaelewa vzuri....Manunu kwa kiungo Cha Casemiro na Ugarte watasubiri sanaTop 4 mwaka huu kuna kazi.. Unaweza kusema ni mapema sana lakini Man utd mbali na kupoteza lakini kwasasa ni timu nyingine kabisa.. Unaona kuanzia katikati mpaka mbele wanaelewana na kuna kitu wanatafuta.. Ni vile leo bahati haikuwa kwao.
It's remained to be seen mkuuMkuu hawa ni nguvu ya msimu mpya tu....ngoja tufike mwezi 12 ndo utaelewa vzuri....Manunu kwa kiungo Cha Casemiro na Ugarte watasubiri sana
Duuuh kwamba cunha ni walewale kaa na Ben white akuelekeze vizuri maana pumzi ilikata, saivi kapumzika nenda kamuulize yule cunha vipi aanze kukupa madesa usisahau kubeba ream paper kubwa kama 3 ivi.Mechi ya tatu tunakuja pale kwenu....tuone mtatufunga kwa kupitia wapi kuku nyny😀😀....tutaotewa na kina Aston villa huko sio hawa traditional big six...Leo ndo ilikuwa siku ya kufungwa lakini wapi...Mbeumo ni Mbeumo tu....Cunha a.k.a Kunya ni walewale tu
Mkuu matokeo ya mechi yenu yakoje?Duuuh kwamba cunha ni walewale kaa na Ben white akuelekeze vizuri maana pumzi ilikata, saivi kapumzika nenda kamuulize yule cunha vipi aanze kukupa madesa usisahau kubeba ream paper kubwa kama 3 ivi.
Sporting walishasema no refunds hahah gyokeres 1 Vs 1 anaacha mpira nyuma😂
Leteni 150 tuwape isak , tofaut na hapo mtaendelea kupigwa na chelsea.
Nan aanze Kati ya gyokeres na havertz ??
Foward lina magoli 39, ukiona si Madrid wala Barcelona wanamtaka, ujue ni mimavi mitupu. Leo alikua anatikisa makalio tu uwanjani.Duuuh kwamba cunha ni walewale kaa na Ben white akuelekeze vizuri maana pumzi ilikata, saivi kapumzika nenda kamuulize yule cunha vipi aanze kukupa madesa usisahau kubeba ream paper kubwa kama 3 ivi.
Sporting walishasema no refunds hahah gyokeres 1 Vs 1 anaacha mpira nyuma😂
Leteni 150 tuwape isak , tofaut na hapo mtaendelea kupigwa na chelsea.
Nan aanze Kati ya gyokeres na havertz ??