Kutokana na kuvuma kwa tetesi, toka kwa mashirika ya ifadhi za jamii Nss na Ppf kutoa mafao ya wafanyakazi wa mashirika binafsi na makampuni, ambayo kwa sasa yatafanyika hadi mfanyakazi atakapo fikisha miaka 55 tofauti na ilivokua, unapata mafao yako kwa muda wa miezi 3, hadi kufikia ivi sasa...

Sioni kama kuna udhalilishaji wa aina yoyote muacheni mengi mtu wa watu bana.je na kwa wale wagonjwa wa moyo anao wapeleka india kwa jili ya matibabu ana kua anawadhalilisha wa gonjwa wa moyo? Endelea mengi malipo yako yapo mbinguni.
Naomba msaada wanaJF,
Mimi situmii kilevi chochote wala sigara lakini macho yangu huwa na rangi nyekundu. Imefikia mpaka naonekana kama mvuta bangi.
Je, naweza kutumia dawa gani ili yaweze kuwa na hali ya kawaida?
Nawatakia heri ya mwaka mpya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.