JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

Kwa Mod:

Si sahihi hata kidogo kuiunganisha thread ya "
Uvumilivu wa JAKAYA ni noooooma" kuwa moja na ya "JK Rais Bora kuliko wote Tanzania" na kisha kukiacha kichwa cha habari cha pili hai.

Binafsi, nimekubaliana na kichwa cha habari na hoja iliyojengwa chini ya "
Uvumilivu wa JAKAYA ni noooooma". Kitendo chako cha kuziunganisha hizi topiki mbili kuwa mmoja na kuacha kichwa kimoja hai ni sawa na kuniweka/kutuweka (sisi tuliokubaliana na hoja ya kichwa cha habari ulicho-ua) kwenye mabano, ukatuzidisha na sifuri!

Sikubali J.K kuwa Rais bora, nakubali J.K ni Rais mvumilivu kwa vyombo vya habari. Japo vyote ni sifa lakini sifa ninayompa ni ndogo katka seti kubwa ya ubovu na udhaifu wake unaomfanuya asiwe Rais bora kuliko wote.

Nyanya mbichi,
Nakuunga mkono. Nawiwa kupendekeza JF iwe ya kwanza kumtunuku nishani ya Uvumilivu Kwa vyombo vya habari ila nina hakika nitatukanwa hadi matusi ya sirini. Lakini ukweli unaki kuwa ukweli kuwa JK is exceptional kwenye issues za uvumilivu. Labda kwa sababu ni mtoto wa Pwani na huko wamezoea matusi tena ya nguoni kama utani?! Anatukanwa Twitter, anatusiwa Facebook, anachorwa katuni Afrika Mashariki nzima, anavuliwa nguo JF, watu wanamfotoshop bila mipaka wala ukomo kimaadili lakini JK wapi hana time na mtu....

Watakao bisha sasa, watakuwa wa kwanza kusema "Bora JK" hata kabla ya June, 2016. Tuombe Mungu atupe uzima na azilinde server za JF ili zije kuwa mashahidi.

Hivi ndivyo Great Thinker anapaswa kuamua mambo. Penye sifa mpe mtu sifa yake. Na alipoboronga vilevile kandia
 
Kwanza serikali sio Mungu... kusema italeta mvua mgao uishe, na ile ya wanafunzi kupata Mimba ni viherehere vyao! Haijawahi kusemwa na rais yoyote ile Tanzania
 
Kuzidisha Barabara
Kuzidisha Shule
Kuzidisha afya
Kuzidisha Uchumi
Kuzidisha Demokrasia
Kuzidisha Maji
Kuzidisha Kazi
Kuzidisha Viwanda
Utalii
Kupigana na Rushwa
Kwa haraka haraka hayo hapo juu kafanya kuliko Rais yoyote wa kabla yake.

Wape taarifa pia wanaotaka kuandamana tarehe 23, watakuelewa wataacha kuandamana.
 
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi
Ni Rais alikumbana na upinzani mkali
Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

Namtakia kila la heri na kazi yake
[h=2]Monday, December 12, 2011[/h] [h=3]KYELA WATAKA RAIS ASHITAKIWE [/h]

IKULU YA TANZANIA
Na, Gordon Kalulunga, Kyela
BAADHI ya wananchi wa wilaya ya Kyela wamesema kuwa katika mabadiliko ya Katiba mpya Rais aondolewe kinga ya kutoshitakiwa wakati akiwa madarakani na baada ya kumaliza utumishi wake wa umma ikibainika kuwa alifanya makosa tofauti na ilivyo hivi sasa.

Hayo yamesemwa na baadhi ya wananchi leo walipokuwa katika mdahalo wa mchakato wa kuelekea kuandika katiba mpya uliokuwa umeandaliwa na mtandao wa Azaki mkoa wa Mbeya (MBENGONET).

Wananchi hao wamesema kuwa umefika wakati wa vipengele kadhaa kuondolewa ikiwemo kumpunguzia madaraka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwemo marekebisho ama kuondolewa kabisa sheria inayomtaka Rais kusaini watu wanaotakiwa kunyongwa na kwamba jukumu hilo libakikie mikononi mwa Mahakama.

''Katiba mpya itamke wazi kuwa Rais ashitakiwe anapobainika kutenda kinyume na sheria za nchi tofauti na ilivyo hivi sasa inamlinda'' alisema Baraka Simon.

Aidha wametanabaisha kuwa Katiba iliyopo licha ya kuwa na mapungufu imeshindwa kusimamiwa ipasavyo kutokana na watanzania wengi kukosa uzalendo.

Naye Maiko Mwakibinga amesema kuwa kutokana na hali hiyo ya kukosa uzalendo kwa nchi imefikia hatua wanafunzi wanasoma kwa lengo la kupata kazi Serikalini kisha kuiba rasilimali za nchi huku tume ya maadili ikinyamazia uovu huo.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa mtandao huo, Edson Mwaibanje, amesema makongamano hayo yatafanyika katika majimbo ya uchaguzi ya Kyela, Mbeya Vijijini, Lupa, Songwe na Ileje ambayo yapo mkoani Mbeya.
 
Nyanya mbichi,

Nakuunga mkono. Nawiwa kupendekeza JF iwe ya kwanza kumtunuku nishani ya Uvumilivu Kwa vyombo vya habari ila nina hakika nitatukanwa hadi matusi ya sirini. Lakini ukweli unaki kuwa ukweli kuwa JK is exceptional kwenye issues za uvumilivu. Labda kwa sababu ni mtoto wa Pwani na huko wamezoea matusi tena ya nguoni kama utani?! Anatukanwa Twitter, anatusiwa Facebook, anachorwa katuni Afrika Mashariki nzima, anavuliwa nguo JF, watu wanamfotoshop bila mipaka wala ukomo kimaadili lakini JK wapi hana time na mtu....

Watakao bisha sasa, watakuwa wa kwanza kusema "Bora JK" hata kabla ya June, 2016. Tuombe Mungu atupe uzima na azilinde server za JF ili zije kuwa mashahidi.

Wana JF na Wote mnaopitia maandishi haya.

Naomba kuondoa maelezo yangu ya kutaka kumtunuku JK nishani ya uvumilivu kwa vyombo vya habari. Baada ya kupitia yanayojitokeza katika kamata kamata ya Wahariri, Waandishi na Wachapichaji wa Habari, naomba kusema Omutwale naondoa pendekezo langu la awali kumkubali JK kama mtu (achilia mbali Rais) mvumilivu kwa vyombo vya habari na pili kumtunuku kwa uvumilivu wake.

Kwa haya yanayoendelea naamini kama kungelikuwa na uwezo wa kiteknolojia wa kuzi-block kabisa JF, FB na socia media zingine zisionekane Tanzania angelifanya hivyo. Au kubwa zaidi, kama tungelikuwa na cyber-laws; wamiliki na washiriki wa JF nasi "tungeisha shughulikiwa"

Naomba sasa rekodi iwekwe kwamba Omutwale haungi tena mkono JK kuenziwa kama mtu mvumilivu kwa vyombo vya habari. Asanteni sana.
 
Tatizo la wabongo ni hapa mtu akifanya jambo zuri lazima apewe sifa zake tatizo letu ukisifia mazuri ya CCM basi umekuwa mwanachama,Mimi si mwanachama wa chama chochote ila kikwete is the best Presdaaaaa Utake usitake.Nchi hii tunahistoria nayo ilipotoka siyo kama ilivyo,ni selikali gani iliyopita mawazili wanashtakiwa kwa kutumia madaraka vibaya?

Nina shaka sana na ubongo wako kwenye kufikili

Mh Ndugu Matope sidhani kama uko sahihi sana. Anaweza kuwa anawapeleka mawaziri mahakamani ili kuwapumbaza watu kama wewe. Mbona hampeleki Lowasa?? Na juzi Lowasa kafunguka kuwa kila alilolifanya lina baraka za JK na hakuna aliyekanusha. Think twice ndugu.Mwangalie Riz. Inawezekana akawa ndo rais mkwapuaji mali za uma kuliko marais wote waliopita. Hata wale twiga waliopelekwa Oman nadhani kuna mkono wake. Hebu tuache ushabiki na kujaribu kumbeba asiyebebeka hata ukimbadilishia mbeleko
 
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi Ni Rais alikumbana na upinzani mkali Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani Namtakia kila la heri na kazi yake[/QU KWA KWELI WEWE UMASIKINI WAKO KIFIKRA UMEZIDI MIPAKA,UNATAKIWA UONE AIBU WW KABLA WENGINE HAWAJAKUONEA AIBU KU KUFIKIRIA KWAMBA MISAADA NI JAMBO JEMA! NA UMEPOTEA KBS BORA UOMBE MWENYE TRD HII IFUTWE,KWANI KWA MAPANA YAKE AMEIVURUGA MIHILI YA NCHI KIKATIBA NA SERKALI KUMEZA KABISA BUNGE NA MAHAKAMA,SS UHURU UKO WAPI?
 
Rais Bora au BORA RAIS? Mzee wa hotuba za mipasho na taarabu!
 
[QUOTE
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Namtakia kila la heri na kazi yake[/QUOTE]
hahah Ni "rahisi" for sure
 
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi
Ni Rais alikumbana na upinzani mkali
Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo
Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani
Ni rahisi ambaye anaongoza katika kipindi kigumu
Ni Rais anayepambana na ufisadi Mf richmond,EPA,nk
Ni Rais anayepambana na wanaofuja mali ya umma
Ni Rais Msikivu na mpokea maoni ya wapinzani

Namtakia kila la heri na kazi yake

Pia ni Rais aliyekufanya wewe uwe mjinga na kuwa na ufinyu wa mawazo kama haya ulioleta hapa.
 
Maybe u have ua own definition of 'bora',otherwise kojoa ukalale!
 
Fikiria angekuwa Mwalimu Julius Nyerere, watu wampande mpaka Kichwani kama wanavyofanya kwa JK, angalau Mwinyi kidogo mngemchokonyoa angevumilia, lakini Mzee BM thubutu.
JK anaongoza nchi ikiwa na upinzani uliokomaa angalau kwa kiasi kikubwa kuliko pale mwanzo kwa sababu ya CDM kujaza wasomi wengi wanaojenga hoja kama Dr. Slaa, Zitto, Mnyika na wengineo, lakini yote hayo JK anaendelea kusimama imara. ama kweli JK ni kiongozi wa kuigwa, siku tukipata Rais asiyevumilia matusi kama JK tutakoma.
 
....Duh!!! Kwa hiyo kuwa kiongozi bora ni kuongoza nchi ambayo ina upinzani uliokomaa!!!! Bila kujali kama kuna maendeleo ya kweli au la na pia bila kujali kama Wananchi wa nchi hiyo wanaridhishwa na maamuzi mbali mbali ya huyo Kiongozi!!! Makubwa haya!!!!
 
Kwani hao wananchi wamechukua hatua gani zaidi ya kumtukana? wakiambiwa waandamane hawatoki wanaogopa mabomu, wengine wanabaki kuchezea keyboard zao na matusi kibao. kwa nini msiige Misri, Tunisia na Libya?

....Kumbe unaelewa kwamba jamaa ni kifuu tundu hakihifadhi maji.
 
....Kumbe unaelewa kwamba jamaa ni kifuu tundu hakihifadhi maji.

Soma signature yangu hapo chini, JK kasimama mwenyewe golini lakini CDM mnapewa penati kila kukicha lakini mnashindwa kufunga magoli, nani alaumiwe yule aliyeko golini au nyie mnaokosa magoli ya penati.
Chukueni hatua kama mnaona hafai siyo kulalamika kwenye keyboards
 
Dah!!!! Siielewi hiyo signature yako maana imekaa kisaniisanii, kwa maneno yako inaelekea umeridhika na msanii Kikwete...pole sana ungekuwa na uwezo wa kuchanganua mambo basi hata wewe ungeona hafai kabisa. Matatizo ya nchi yetu si ya CHADEMA pekee yao bali ya Wananchi wote na wewe ukiwemo.

Back
Top Bottom