Naonekana kama mvuta bangi

Ondio Osio

Member
Sep 11, 2011
24
3
Naomba msaada wanaJF,

Mimi situmii kilevi chochote wala sigara lakini macho yangu huwa na rangi nyekundu. Imefikia mpaka naonekana kama mvuta bangi.

Je, naweza kutumia dawa gani ili yaweze kuwa na hali ya kawaida?

Nawatakia heri ya mwaka mpya.
 
Usitumie muda mwingi sana kwenye TV au PC, au kama wewe ni mjasiriamali basi muda mwingi usiutumie kwenye moshi (ikiwa huwa unachoma matofari, unapika kwa kutumia kuni)
 
yuko jamaa mmoja alisoma pale udsm. Mwanzoni nilijua jamaa chapombe ila sio. Macho mekundu na yanasinzia muda wote. Au ndo wewe ndugu?
 
Jaribu dawa za kutakasa macho, kama VISINE. unaweka nonye moja moja alafu macho yanakua meupeee
Ila hii ni short term solution. Kwa solution ya kudumu jaribu hizo ulizo shahuriwa mwanzo
 
Nilikuwa na tatizo kama lako nikashauriwa nitumie Carrots kwa wingi kwenye milo yangu, pia dagaa kwa wingi.
Sasa wekundu umepungua na hayawashi tena
 
Jaribu dawa za kutakasa macho, kama VISINE. unaweka nonye moja moja alafu macho yanakua meupeee
Ila hii ni short term solution. Kwa solution ya kudumu jaribu hizo ulizo shahuriwa mwanzo

Aksante sana kwa ushauri wako.
 
Nenda clinic ya macho aisee ili upate ushauri wa kitaalam baada ya kupima. mwanga, vumbi, moshi au infection isababishwayo na germs inaweza kusababisha hilo tatizo.
 
Mwali Macho yako yanaonekana ka vile umepaka hiyo kitu Visine
Jaribu dawa za kutakasa macho, kama VISINE. unaweka nonye moja moja alafu macho yanakua meupeee
Ila hii ni short term solution. Kwa solution ya kudumu jaribu hizo ulizo shahuriwa mwanzo
 
punguza ukali, pia jaribu kuvaa miwani watu wasione macho yako.
 
una dalili zote za allergic conjuctivitis tumia prednisolone eye drops pamoja na sodium chroglycate eye drps
 
nenda msasani ccbrt, pengine ni tatizo dogo tu na wanaweza wakakupa ushauri tu au tiba za vyakula.
 
Jaribu dawa za kutakasa macho, kama VISINE. unaweka nonye moja moja alafu macho yanakua meupeee
Ila hii ni short term solution. Kwa solution ya kudumu jaribu hizo ulizo shahuriwa mwanzo
Naweza ipata wapi hii @Mwali make nimeitafuta sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom