kwa jinsi dunia ilivyo kama kijiji kwa sasa; wala siwezi kudharau tetesi hizi: maana tuliambiwa tetesi nyingi tu lakini baadae zikawa kweli; mfano:
1. tetesi 2005: JK kumteua EL kuwa waziri mkuu-ikawa kweli
2. tetesi: mwakyembe mgonjwa ngozi yake yaharika vibya-ikawa kweli
3. tetesi: mabilioni...
hizi ndio changamoto za ndoa ya mkeka; mke anapokuwa mkali ili kuilinda ndoa yake isivunjike, ndugu wanakuwa wakali, na kutaka kuingilia mpaka mambo ya ndani! RIP CUF; hii ndiyo malipo ya dhambi ya kuwa CCM-B
Kilichotuponza sisi CUF Ni kuolewa kwa kubakwa na CCM! SIJUI KAMA 2015 TUTAPATA HATA HIZO KURA 600,000 TULIZOPATA 2010 KWA MGOMBEA WA URAIS! viongozi CUF tujitafakari la sivyo hata hiyo ngome tunayoitegemea ya PEMBA itabakwa na CCM au AFP!
mimi siwezi kubisha kuhusu habari hii; hebu na tujiulize swali moja, ni kwa nini Kafulila alifukuzwa CHADEMA? pili mwenendo wa Zitto CHADEMA hauna tofauti na ule wa Shibuda a.k.a mzee wa ujira wa mwiha, ambaye wanachadema wote tunamjua kuwa ni msaliti.
Jamani mbona mnaandikia mate wakati wino upo? kwa nini msiwataje hapahapa JF hao waheshimiwa ambao mnauhakika kuwa wana viruirui? hii itasadia kubadili tabia zao; pia kutambaa kwenye maneno wanayohubiri majukwaani kila siku!
unamaanisha nini? ina maana wanasiasa maarufu waliopo India ni waathirika? acha hizo wewe; ugonjwa ni siri ya mtu na daktari wake, ana hiari kutangaza kwa watu wengine au laa!! sisi hatufuatilii afya yake kwamba anaumwa nini bali tunataka kujua maendeleo yake baada ya kupata matibabu
ndugu yangu mimi ni mtumishi wa serikali kada mojawapo ya afya anachozunza mtoa mada ni sahihi kabisa, mimi mwenyewe nimeshtukia ''take home'' yangu imekatwa kwa tshs laki mbili; vuguvugu la madai lishaanza maeneo mbalimbali, lakini halina nguvu kwa sababu kada ya afya haina chama ambacho ni...
inaelekea wewe hata speech za baba wa taifa huwa husikilizi; sababu za nchi nguingia vitani mwalimu alizieleza kinaga ubaga nenda kanunue mkanda usikilize;
kuhusu hoja yako ya kutoa elimu bure hapa nchini hilo linawezekekana kabisa ikiwa tu utajiuliza mambo yafuatayo:
1. ni kiasi gani...
1. ni vyema kurugenzi ya mawasilino ingetoa ufafanuzi juu ya vigezo vilivyotumika kuwasamehe hao maharamia badala ya kutupiana mpira;
yaani mimi nafikiri hoja sio nani kawasamehe, bali ni kwa vipi wamesamehewa? nasema wamesamehewa kwa sababu mtu aliyehukumiwa kunyongwa, halafu akapunguziwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.