Kijambo cha wiki mlimani tv. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijambo cha wiki mlimani tv.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kurunzi, Oct 30, 2011.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,744
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Nimekuwa mdau wa kijambo cha wiki kiasi ambacho siwezi kukikosa nimekipenda hasa cha leo , kimeonyesha vile wasira akibwajaja juu ya mgogoro wa Arusha kwa upande mwingine wenzao CDM Dr.Slaa akielezea mambo muhimu mstakabali wa nchi juu ya katiba mpya na ccm wakizuba wanaweza kushituka CDM hao wanasonga mbele hao kama vile Yanga walivyomua mnyama Simba!
   
 2. o

  onchoseciasis Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tumainiel kamnde?
   
 3. S

  Sambega Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  CDM - Critical thinkers.


  CCM - Stress thinkers
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 15,697
  Likes Received: 8,492
  Trophy Points: 280
  hiyo vesi ya watani wa jadi mh!!!!! naona kama inavuruga utaratibu.
   
 5. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,529
  Likes Received: 1,171
  Trophy Points: 280
  Umejieleza vizuri,umeleta mada nzuri,ila apo kwa Simba na Yanga ni kutafutana ugomvi...Tusiharibiane siku
   
 6. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,744
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  nikijambo tu cha wiki hii!
   
 7. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 135
  Umenikumbusha, ntachek saa nne.
   
Loading...