Ni suala jepesi sana, tutajua kama hao wafungwa wametoka au laah baada ya kwenda magereza husika kujua kama ni kweli au laaaah. Halafu kwa nini Ikulu isilitake gazeti kukanusha habari hiyo front page badala yake inaishia kukanusha na kutulia tu. Yupi muongo sasa Ikulu au Mwananchi?
u can't even remember the name that makes me doubt the righteous of ur quote.,anyway i don't do much with philosophy...!Heshima kwako bro!
A certain philosopher(don't remember he name...sorry) used to say " if you don't stand for what you believe, then either your creed is worthless or you are worthless"
Now what I said regarding Kikwete and his gang is not personal - I think everyone in good faith can witness and testify the inability of the man to govern surely he's able to rule but not to lead, hope you know the difference between the two!!!
Regarding "kufundisha" I didn't find a better terminology but if you have one please forward it to me for future reference(s): in any case I didn't navigate in the merit of the issue instead what I did was simply to provide 2 simple rules of mass communication which he should know better than I do because the guy earns his daily bread thanks to that...
As far as "VIONGOZI WABOVU" is concerned, I surely don't own the copyright and I kindly mentioned the source so I don't know what is your argument so far!!!!
Hauhitaji kuwa na degree ya uongozi ili kujua kwamba Kikwete ni kiongozi mbovu!!!! Labda umekuwa disturbed na neno VIBAKA - those guys starting with Kikwete and the members of his family down to the members of his gang(read CCM aka MAGAMBA) are looting the natural resources as well as the finance of our country - how should I call them???? I'm afraid I was even fairly diplomatic.
na taarabu nayo pia imo...?Nguruwe pita sina mkuki mie, wewe haramu......this is totally bulshit, kazi za kupeana zina matatizo yake, tuendelee tuone mwisho wake.
Ha ha haaaa..............
Tanzania nchi yetu nzuri sana, watu kwa kujitoa tu hawajambo.
Mimi nilitegemea ikulu ingetueleza huo msamaha ulitolewaje kwa kuzingatia katiba, sheria na mamlaka ya rais, lakini kumbe ni yale yale ya kusingizia utawala uliopita!
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Gazeti la Mwananchi, matoleo ya jana, Jumatano, Oktoba 12 na leo, Alhamisi, Oktoba 13, 2011, limeandika habari zilizodai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alitoa msamaha wa kupunguza adhabu ya kifo iliyowakabili askari polisi wa zamani waliopatikana na hatia ya kumpiga risasi na kumwua kwa makusudi aliyepata kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Luteni Jenerali Imran Kombe Juni 30, 1996.
Gazeti hili limedai kuwa Mheshimiwa Rais Kikwete alitoa msamaha huo kwa kupunguza adhabu ya kifo iliyokuwa inawakabili makonstebo wapelelezi Mataba Matiku na Juma Muswa na kuibadilisha kuwa kifungo cha miaka miwili.
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, inapenda kufafanua kuwa Mheshimiwa Rais Kikwete hajawahi na hajapata kuhusika hata kidogo kutoa msamaha wa kirais kwa kupunguza adhabu ya wauaji hao wa Luteni Jenerali Kombe tokea kuingia madarakani.Masuala yote yanayohusu polisi hao waliohukumiwa kifo kwa mauaji ya Luteni Jenerali Kombe yalifanyiwa maamuzi kabla ya Rais Kikwete kuingia madarakani Desemba 21, 2005.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
13 Oktoba, 2011
hii kurugenzi inamtetea rais kama mtu au taasisi ya urais? Fafanuzi zote za sasa na kabla yao tuite hao wastaafu? Sekta zote za umma ingekuwa hivi si balaa!
Hapo Kwenye Red huyo ni Mnyaruanda, sio Mtanganyika, Kikwete hawaamini watanganyika
Sasa ndo naamini kulikuwa na mkono wa mtu kwenye mauwaji ya Kombe.Siku ccm ikiondolewa madarakani,basi tutajuwa mengi sana.Ukweli ni kwamba it will be chaotic to some extent watu wakijuwa how deeply bad these people are.
Ukishaona issue inakuwa "dropped like a hot potatoe" basi ujuwe something really fishy kama ulivyosema.Binafsi ni kielelezo kuwa it wasnt an accident kama walivyotaka tuamini before.Mkapa na Mahita ilikuwa a deadly combo.Unajua kinachoshangaza ni pale hiyo kurugenzi ya Ikului inapokimbilia kumlinda Kikwete badala ya kutoa ufafanuzi. Ni watu hawahawa tukiwaambia watuonyeshe barabara alizojenga JK na awamu yake wanaonyesha zile zilizobuniwa, kufanyiwa feasibility studies, kubajetiwa na kuanza kujengwa na awamu ya Mkapa. The talk ni kwamba wanaendeleza, sasa inakuwaje responsibility ya mambo mengine ya uraisi yakwepwe kwa staili hii ya matamko??? Something really fishy kilifanyika kwenye hilo sakata zima na nnadhani sasa ni muda wa kuchungulia nini kinatoka ndanin ya hiyo can of worms!!
huenda ikawa ni vita ya makundi inayoendelea ndani ya chama, katika mbio za kugombania urais 2015Ila pamoja na yote kuna maswali ya kujiuliza juu ya hili gazeti..,kwa ninavyofahamu mimi ni kuwa chombo chochote cha habari kinakuwa na dhumuni ama madhumuni juu ya kuundwa kwake..,ukiacha kule kufikisha habari kwake lakini muundaji wa chombo hicho huwa na dhumuni binafsi la msingi, hivi ndivyo ilivyo duniani kote..,SASA LABDA NIJIULIZE BINAFSI LENGO LA MWANANCHI NI LIPI KWA KUANDIKA HAYA..?
u can't even remember the name that makes me doubt the righteous of ur quote.,anyway i don't do much with philosophy...!
Basically, frm semantic point of view, the two is interchangeable in use and i do concur that the guy understand that 2simple rules of mass comm more than u do..,that was supposed to be ur precaution.,the rest of ur post was both irrelevant, hearsay,baseless&plain comment to the subject on issue..,u can follow my mark "Hauhitaji kuwa na degree ya uongozi ili kujua kwamba Kikwete ni kiongozi mbovu!!!! Labda umekuwa disturbed na neno VIBAKA - those guys starting with Kikwete and the members of his family down to the members of his gang(read CCM aka MAGAMBA) are looting the natural resources as well as the finance of our country