Recent content by Omwojo

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jua la Asubuhi sio kali kama Mchana na umbali ni uleule?

    Dah dunia hii
  2. O

    JamiiForums Tanzania NASA's Kepler Mission Discovers Earth's 'Cousin'

    Miaka mill kufika, chombo gan kitaenda, refuelng itafanyika sayari gan, mungu aliumba mbingu na nchi vingine sijui kwa kwel
  3. O

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kuwa unachoangalia ni filamu ya Bongo

    Lazima ukae na remote mkonon kuongeza na kupunguza sauti kila mara, poor voice
  4. O

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete fanya hiki Dr. Magufuli apate kura za waalimu

    Hiii ni out of salary au ni mgawanyo wa salary yenyewe, ufafanuzi kidogo
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kuzaliwa Uchagani tu ni form six!

    Jamiiforum ikiwa na watu kama wewe 20, inarud ilikotoka,. Kwa upande wangu mm sioni haja ya kuoa kabila instead mwanamke ambaye anajua akifanya hiki leo kesho kitakuwa na impact gan katika maisha ya wafimilia, as u said atakayejal plans na vipaumbele.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wa Dar, CCM tayari wamenyoosha mikono, twende Arusha sasa!

    Ilo liko wazi kwa CCM ndo tabia zao, labda utwambie km UKAWA na wao wanafanya kama wenzao
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alisema hanitaki sasa nani alaumiwe?

    Asanten kwa ushauri nlishindwa kujib comment coz sikuwa hewan umeme huku nilipo ni tatizo jingine
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alisema hanitaki sasa nani alaumiwe?

    .....Karibuni kwa mawazo.....
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alisema hanitaki sasa nani alaumiwe?

    Niko kwenye kipindi kigumu sana wana MMU, nahitaji msaada wenu kwa ushauri na mengine. Iko hivi; Nilitokea kumpenda binti mmoja ambaye pia alinipenda, mahusiano yetu yalianza kama urafiki ambao ulitokana na familia zetu kuwa karibu (family friend), kwa muda mrefu tulidumu katika urafiki wa...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufungua Website ya Taasisi

    Ni shule ya sekondari mkuu, special kwa ajili ya kutuma matokeo, joining instructions na matangazo mbalimbali as well as vitu vngne vya kawaida
  11. O

    JamiiForums Tanzania Just Imagine: utanunua kipi kati ya hivi?

    Steal and Run Away from blinded Tanzanians...Daud Balal
  12. O

    JamiiForums Tanzania Just Imagine: utanunua kipi kati ya hivi?

    Diamond N, (ed) (2015) "Mouth is what you sing and not how you look" NyambariPublishers, Dar
  13. O

    JamiiForums Tanzania Mwanza City on a major Shopping project

    Hiv mlimani city zko mbili au, na hiyo parking unayoisema iko upande gan mwa mliman city, ile parking ya mliman city kwa hii ziko mbili, acha kupotosha naweza kubaliana kwa mbali na mtu aliyejadil kuhusu wakandarasi na wajenzi wa mliman city lakin kwa ukubwa na uzuri hii kitu iko mbali sana...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

    Mama huyu yuko uraiani alpata msamaha kipindi cha mkapa
  15. O

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufungua Website ya Taasisi

    Kutumia computer niko gud ni ya shule mkuu, help
Back
Top Bottom