Alisema hanitaki sasa nani alaumiwe?

Alisema hanitaki sasa nani alaumiwe?

Mkuu umesema form three alitolewa bikra na ticha, mlipo meet alikwambia anaboyfrnd askari mwenzie sasa unataka mini kingineeee......bwaga fastaaa
 
zoba zoba zobaaaaaa.kula nduki wewe.au ndio una ndoto za abunuwasi?
 
kuoa mwanajeshi, inatakiwa uwe na roho ngumu kuliko ya paka....!!
 
Wanaume wa sasa naona hatuwezi kujisimamia kabisaaa. Mkuu kwani wewe umeamua nini kabla hujapata ushauri wa wadau? Zako zilikuwa tamu na kibuti juu, amekuweka exile still umekomaa tuu. Omwojo
 
Last edited by a moderator:
Asanten kwa ushauri nlishindwa kujib comment coz sikuwa hewan umeme huku nilipo ni tatizo jingine
 
Back
Top Bottom