Recent content by Omukitwe

  1. Omukitwe

    Clouds wanapotumia taarifa ya bbc na kujifanya wameitafuta wenyewe.

    Soma n ilichoandika ndo utaelewa makosa clouds. Mm sijasema kuwa wamekosea kuripoti hiyo habri, no ila wasiripoti habari iliyoandaliwa na chombo kingine mpaka recordings zote pasipokubadilisha hata tone alafu wakijifanya mwandishi wao ndo katafuta hiyo habari wakati wameikopi toka sehemu nyingine.
  2. Omukitwe

    Clouds wanapotumia taarifa ya bbc na kujifanya wameitafuta wenyewe.

    Lakini kumbuka hawa wameenda mbali zaidi kwa kumuweka hadi mwandishi wao akaenda mpaka kwa mmiliki wa mbuzi, mpaka vingunguti na akatembea kilomita zaidi ya 7 kufuatilia kuona wanapolala hawa mbuzi. Na hiyo habari ya bbc ndo clouds wameichukua mpaka yale yote aliyoyafanya mwandishi wa bbc na...
  3. Omukitwe

    Nina imani barabara ya mbezi mwisho-mpigi magoe-bunju itajengwa mwaka 2017/2018

    Ni baada ya kuwekwa kwenye kila bajeti toka mwaka 2013/2014 hadi mwaka 2016/2017 pasipo mafanikio. Nina imani sasa hii barabara siyo kwamba itaegeshwa tena kama miaka mingine iliyopita. Ni barabara mbovu sana inayofanya magari kupelekwa gereji mara kwa mara. Naomba kama kuna mtu amehusika...
  4. Omukitwe

    Clouds wanapotumia taarifa ya bbc na kujifanya wameitafuta wenyewe.

    Story ya mbuzi wa dar kuzurula na kuvuka wenyewe kwenye zebra imeandaliwa na bbc na kurushwa na bbc asubuhi ya leo tarehe 13/04/2017. Lakini kwenye amplifaya ya clouds na huyu dada plus milard ayo wanatoa hii habari na kudanganya kuwa kuna ripota wao ndo kaandaa hii habari wakati ni yule wa bbc...
  5. Omukitwe

    Naomba kujua EFD.mfumo wake

    Kuna aina mbili za watumiaji wa EFD. Wale ambao wamesajiliwa na VAT na wale ambao hawajasajiliwa na VAT. Wale ambao wamesajiliwa na VAT nao pia wanaweza kuwa wanauza bidhaa ambazo zinatozwa VAT na nyingine hazitozwi na VAT, setting yake inafanyika kwenye mashine. Lakini kwa wale ambao...
  6. Omukitwe

    Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

    Acha utoto ww gwajima anamfunga mtu yy ana jera? Au yy amekuwa jaji?
  7. Omukitwe

    LHRC kuipinga 15% ya Bodi ya mikopo Mahakamani

    Kwa hili mawakili wetu wako sahihi kabisa. Tunafundishwa kuwa sifa mojawapo ya sheria ni kuanzia pale inapotungwa na si kurudi nyuma. Lakini nashangaa sheria zinazotungwa sasa hivi zinarudi mpaka nyuma. Labda wana sheria watusaidie kwenye hili ili na mimi nielewe.
  8. Omukitwe

    Rais magufuli na Ndalichako hebu waoneeni huruma watoto hawa wa masikini!

    Kwa hili hata mimi napaza sauti. Nina ndugu yake wife anasoma udaktari muhimbili. Baada ya hayo majina ya board, amekata tamaa kabisa na anarudi nyumbani. Mwanzoni alipewa 95% alafu sasa hivi amenyimwa eti kisa kasoma O-Level Kaizirege. Sijui kama analowaza litafanikiwa kwa maana anahisi akiacha...
  9. Omukitwe

    Kuna sababu gani za kulaza magari ya mwendokasi Jangwani badala ya Kimara?

    Naomba wahusika wanisaidie. Ni sababu zipi zinazosababisha mabasi ya mwendo kasi kutokulala kwenye vituo pale yanapotakiwa kuanzia safari? Watu wanasubiria magari kimara mwisho alafu yanakuja yamejaa tayari. Hapa sijaelewa kwanini kulala Jangwani na si Kimara??
  10. Omukitwe

    Kuna sababu gani za kulaza magari ya mwendokasi Jangwani badala ya Kimara?

    Naomba wahusika wanisaidie, Ni sababu zipi zinazosababisha mabasi ya mwendokasi kutokulala kwenye vituo pale yanapotakiwa kuanzia safari? Watu wanasubiria magari Kimara Mwisho alafu yanakuja yamejaa tayari. Hapa sijaelewa kwanini kulala Jangwani na si Kimara.
  11. Omukitwe

    Ambako CHADEMA ina wabunge wengi na madiwani Wengi, Je kuna mabadiliko yoyote??

    Mimi nawashangaa wakazi wa ubungo sijui ni nani aliyewaroga. Mimi naona jimbo lenye barabara chache za lami ni ubungo, maji shida ubungo, lkn bado wanaona wakoendelea kuchagua hawa watu ni sawa tu. Mwaka 2020 kama Mungu atanijalia uzima napinga kampeni ya kuondoa watu wasioleta maendeleo.
  12. Omukitwe

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Shirika la Umeme Tanzania - TANESCO

    Hii sasa ni kero, ndani ya saa moja mnakata umeme na kurudisha si chini ya mara 6 huku Mbagala kuu. Mtatuunguzia vitu kwa upuuzi wenu. Si mtoe taarifa kama kuna tatizo?? Acheni upuuzi. Mkiunguza vifaa vyetu mtanunua?? Hii ni kero sasa.
  13. Omukitwe

    Amina Ally unaharibu kipindi cha Amplifier Clouds Fm

    Mm mwenyewe napenda sana kusikiliza kipindi hiki hasa ninapokuwa natoka kazini. Lakini huyu dada kaja kuharibu kabisa. Tangu aanze yeye nimetune clauds mara mbili, nikimkuta nabadilisha station. Hovyo kabisa.
  14. Omukitwe

    Ufafanuzi wa barabara ya itakayojengwa kutoka pugu hadi bunju kupitia mbezi mwisho-mpiji magoe.

    Naomba kama kuna mtu ana access plan ya hii barabara anisaidie. Je hii barabara itakayojengwa kuanzia pugu kwenda bunju kupitia mbezi mwisho itapita barabara zipi kati ya hizi mbili?? Ile iliyopo pale kwa Yusuph kupitia mbezi high school au ile inayokwenda na ile iendayo goba ikachepuka pale...
Back
Top Bottom