Omukitwe
Member
- Mar 29, 2016
- 91
- 91
Naomba kama kuna mtu ana access plan ya hii barabara anisaidie. Je hii barabara itakayojengwa kuanzia pugu kwenda bunju kupitia mbezi mwisho itapita barabara zipi kati ya hizi mbili?? Ile iliyopo pale kwa Yusuph kupitia mbezi high school au ile inayokwenda na ile iendayo goba ikachepuka pale mbele? Naomba mnisaidie ili nifanye maamuzi sahihi.