Kwanini kituo cha parking kiwekwe jangwani na si kimara?ndipo kilipo kituo chake cha parking na si kimara
Kimara kuna Depot/yard ya UDART? Au yalale barabarani?Naomba wahusika wanisaidie,
Ni sababu zipi zinazosababisha mabasi ya mwendokasi kutokulala kwenye vituo pale yanapotakiwa kuanzia safari? Watu wanasubiria magari Kimara Mwisho alafu yanakuja yamejaa tayari.
Hapa sijaelewa kwanini kulala Jangwani na si Kimara.
Jangwani kulikuwa na eneo kubwa la wazi ila kimara ingebidi wabomolee watu walipe fidia,isitoshe ni katikati ya mji/safari. Unafikiri mabasi yanaanzia/yataanzia Kimara tu?Kwanini kituo cha parking kiwekwe jangwani na si kimara?