Ambako CHADEMA ina wabunge wengi na madiwani Wengi, Je kuna mabadiliko yoyote??

Kama tulivyozungushwa mikono na kuahidiwa kuwa tukichagua wagombea wa Chadema tutapata maendeleo kwa kasi, je baada ya mwaka kupita tukiwa chini ya Halimashauri za Ukawa.
Kuna nafuu yoyote ya maisha au ni mwendo wa kutetea mafisadi tu??
Unafuu wa maisha unawezeshwa na serikali iliyopo madarakani, wala sio diwani au mbunge ambaye ni mwakilishi tu wa wananchi katika kuipa presha serikali
 
Kama tulivyozungushwa mikono na kuahidiwa kuwa tukichagua wagombea wa Chadema tutapata maendeleo kwa kasi, je baada ya mwaka kupita tukiwa chini ya Halimashauri za Ukawa.
Kuna nafuu yoyote ya maisha au ni mwendo wa kutetea mafisadi tu??
Unafuu wa maisha unawezeshwa na serikali iliyopo madarakani, wala sio diwani au mbunge ambaye ni mwakilishi tu wa kuipa presha serikali
 
Kama tulivyozungushwa mikono na kuahidiwa kuwa tukichagua wagombea wa Chadema tutapata maendeleo kwa kasi, je baada ya mwaka kupita tukiwa chini ya Halimashauri za Ukawa.
Kuna nafuu yoyote ya maisha au ni mwendo wa kutetea mafisadi tu??
Unajua kuwa wanazuiwa kufanya chochote na wenye nchi sasa unategemea nini?

Mi nadhani watanzania hii hali wanaiona hivyo Hata MTU akilaumu watu watakaa kimya kwa kuogopa kupelekwa lupango lakini wanaelewa
 
Kama tulivyozungushwa mikono na kuahidiwa kuwa tukichagua wagombea wa Chadema tutapata maendeleo kwa kasi, je baada ya mwaka kupita tukiwa chini ya Halimashauri za Ukawa.
Kuna nafuu yoyote ya maisha au ni mwendo wa kutetea mafisadi tu??
Ulizia kipindi cha nyuma ilikuwaje mbona zilikuwa na maendeleo sana!! Ila kwa mfumo huu wa hujuma za waziwazi ili watu wsshindwe haitatufikisha kokote ni siasa za kishamba!! Eti mapato yote makubwa yaliokuwa yanakusanywa na h/shauri unayaondoa na kuyapeleka serikari kuu!! Then mapato hayo huyarudishi kwa wakati!! Kila kitu kifanyike dar, halafu unauliza eti zimefanya nini? Watoe pesa mifukoni.
 
Arusha barabara za ndani znajengwa kwa speed YA 4.5G Yaani kizazi cha T ukitaka ushaidi nakupaa<br />Tena zote kwa kiwango cha lami na makusanyo YA kodi yanazidi kuongezeka
 
Huduma za afya bado mbovu, elimu inachezewa, udikteta uchwara umeimarika, uhuru wa habari hakuna, mengine malizia wewe maana unayajua vzr. Me nipo kwa mangi nakunywa pepsi baridii.
 
Bajeti ya nchi wanatengeneza CCM....fedha za maendeleo wanakusanya na kuzigawa CCM...na bado uhuru wa kisiasa unakandamizwa na CCM....ww unategemea nini?...
 
Kama tulivyozungushwa mikono na kuahidiwa kuwa tukichagua wagombea wa Chadema tutapata maendeleo kwa kasi, je baada ya mwaka kupita tukiwa chini ya Halimashauri za Ukawa.
Kuna nafuu yoyote ya maisha au ni mwendo wa kutetea mafisadi tu??
Mimi nawashangaa wakazi wa ubungo sijui ni nani aliyewaroga. Mimi naona jimbo lenye barabara chache za lami ni ubungo, maji shida ubungo, lkn bado wanaona wakoendelea kuchagua hawa watu ni sawa tu. Mwaka 2020 kama Mungu atanijalia uzima napinga kampeni ya kuondoa watu wasioleta maendeleo.
 
Back
Top Bottom