Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
Tangu jana loanbord wametoa majina ya watoto waliofanikiwa kuapeal mkopo!
Waliofanikiwa ni watoto kama 1000+ na wengi walitegemea kupata ahueni lakini subira yao imekuwa shubiri......
Kibaya zaidi wapo wengine ambao majina yao yalikuwepo kwenye first batch,ila wakati wapo chuoni ghafla wakakatiwa mkopo wao bila sababu ya msingi, sasa wamesoma semister moja tu ndio hayo majina yenu mumeyaleta!
Kiukweli walio wengi wamekata tamaa na maisha, hebu waoneeni huruma!
Mimi niko tayari hata kutoa uthibisho wa hao waliopewa first batch ila mkawakatia tena na sasa wamekoseshwa kabisa na niko tayari kuwapeleka mpaka nyumbani kwao ili kuona hali halisi ya wazazi wao na wanasoma zile course ambazo ni priority!!
Hebu waoneeni huruma watoto hawa walioonja elimu ya chuo kwa semister moja tu!