Phillemon, mi naelewe unayosema na siyo siri yanaumiza sana,anyway mi challenge yangu kwako na kwenu JF , ni vipi tutafanya kitu out of this, ikiwezeka kiwe tangible, yaani mchango wetu ni upi au nini tunaweza kufanya kwa taifa letu hili lililo oza, au tutabaki kuongelea hapa , na kuishia hapa tuu?