Zitto: "Majibu ya Sumari ni 'ovyo ovyo'"; atakiwa kufuta kauli!

Hao ndio wawakilishi tuliowachagua wenyewe wakachume mamilioni pale mjengoni,tusubiri hekima ya spika ndio tuwajaji kati ya hao,wale na yule yupi mwenyekutetea Tanzania.Spika akipinda tutajua nae ni yuleeee.
 
alishakimbia kule tena nikamwomba hata tumpigie simu kamishina wa madini niweke loudspeaker ateter hoja zake akakimbia toka siku hiyo basi nikasema huyu mzugaji kuna watu wanamtumia na wameshamchoka sasa hata ubunge hautaki tena hata uzalendo hana tena anaamua kufanya anachojisikia yeye yaani kuharibu nchi na wananchi wake

Shy, Una ugomvi na Zitto? Mbona kila anachofanya wewe huwa una-Crash???
Kwa Upande wangu naona Zitto yuko sahihi kabisa hajakosea hata kidogo. Yani Mbunge wa CCM akiongea utumbo hatakiwi kujieleza wala kuomba radhi lakini akiongea kitu mtu wa upinzani inakuwa kosa.
 
A controvesial CHADEMA MP from Kigoma North constituency has once again tested the wrath of Union Parliament today, after refusing to detract his ownstatement that " majibu aliyotoa waziri Sumari kwa Mh. Slaa ni ya HOVYOHOVYO..." pamoja na pressure ya wazi toka kwa two CCM MPs wakiomba mwongozo wa Mwenyekiti, Zitto aligoma katakata kufuta kauli yake na kudai kwamba wabunge kadhaa (nadhani akimaanisha wa CCM), wameshaongea kauli za kutatanisha katika bunge hili lakini hakuna hatua zilizochukuliwa..alimalizia kwa kusema "NIPO TAYARI KWA LOLOTE" kabla hajendelea kuchangia mjadala wa budget..

Kijana Zitto nakuaminia, hakuna kulegeza, we need more of you, anaye sema mbofu mbofu aambiwe live siyo kumpaka mafuta kwa mgogngo wa chupa! Wamelewa madaraka na wanadhani wameenda bungeni kuigiza na kuleta ushabiki wa siasa badala ya kuwa watetezi wa wananchi na kuiwajibisha serikli.

Wakikutimua njoo mtaani, watakiona walichokumbana nacho, manake Buzwagi ilikuwa cha mtoto!
 
Mheshimiwa Jerremiah Sumari aliongea kwa hovyo na jazba kumpita kondakta wa daladala! Sikuamini macho yangu, hadi Bunge zima lilirindima kicheko cha dharau. Hata kama ni chama kushika hatamu au tawala basi mambo hayaendi hivyo. Eti alimalizia kwa kumkejeli Comrade Silaaa eti na wewe hoja ni hiyo hiyo, kana vile anataka abadili hoja. Itawezekanaje kubadili hoja wakati ufisadi ni main agenda katika hindrance za maendeleo na umaskini uliokithiri tuliokuwa nao. Serikali eleweni kuwa Ufisadi, rushwa of all sorts especial the grand/corporate one, mikataba mibovu, unyanyasaji wa wananchi kupitia mikataba hiyo, etc. Hivi imagine jinsi ambavyo watanzania wazalendo wananyang'anywa ardhi yao na kubomolewa makazi eti kwa kuwa kuna the so called foreign investor of local ambaye anaweza kuhonga hata uhai wa binadamu. Who ever seen the scene at Kurasini ambambo wafanyakazi wa NARCO walibomolewa makazi tena wakiwa makazini juzi???? Mungu tupe shime, enough is enough, tumeburuzwa na we need to act!!! Ni nani hasa will be our MOSES (Musa) to lead us in the desert and crossing the Red Sea??? We need one, we need one who is dedicated to the citizens and their remaining natural resources, I say we need one. We had never had one since 1985!!! Mh. Sitta make the House palatable/conducive to all MPs, hakuna mambo ya upande mmoja hapa. Shame.
 
alishakimbia kule tena nikamwomba hata tumpigie simu kamishina wa madini niweke loudspeaker ateter hoja zake akakimbia toka siku hiyo basi nikasema huyu mzugaji kuna watu wanamtumia na wameshamchoka sasa hata ubunge hautaki tena hata uzalendo hana tena anaamua kufanya anachojisikia yeye yaani kuharibu nchi na wananchi wake
imebidi nisome profile yako mzee! maana reflection yako iko chini ya kiwango.unayoongea hata mtoto mdogo atakuita mwongo. wewe na kabwe mko mko vipi utuambie. labda mwenzetu mnajuana kivingine na mweshimiwa, lakini hiyo sisi haituhusu tunaangalia mambo yanayotendwa na mtu kwenye jamii na sio vichochoroni.
 
Shy, Una ugomvi na Zitto? Mbona kila anachofanya wewe huwa una-Crash???
Kwa Upande wangu naona Zitto yuko sahihi kabisa hajakosea hata kidogo. Yani Mbunge wa CCM akiongea utumbo hatakiwi kujieleza wala kuomba radhi lakini akiongea kitu mtu wa upinzani inakuwa kosa.
Nilichogundua anamchukia kibinafsi lakini michango mingi hapo inaongelea hoja ya zitto kuwa mbona wabunge wawili hawajafanyiwa kitu? Ukiangalia huyu member mwenzetu ana mambo binafsi. Namshauri ashikilie hoja usiangalie aliyetoa upotoka na kujikuta unashindana na kila mtu.
 
habari wana JF swali langu ni kwamba ni kwani jk ameteua mawaziri wengi ambao hawajui lolote. wengi wao nawaona kama virungu tu.Au kuna fadhila anyoilipa.
 
Kijana Zitto nakuaminia, hakuna kulegeza, we need more of you, anaye sema mbofu mbofu aambiwe live siyo kumpaka mafuta kwa mgogngo wa chupa! Wamelewa madaraka na wanadhani wameenda bungeni kuigiza na kuleta ushabiki wa siasa badala ya kuwa watetezi wa wananchi na kuiwajibisha serikli.

Wakikutimua njoo mtaani, watakiona walichokumbana nacho, manake Buzwagi ilikuwa cha mtoto!



Asante Rwabugiri!

Pamoja na mapungufu yake kama binadamu sometimes navutiwa na msimamo wake. Before seeking apology from Zitto Spika angemtaka kwanza Jeremiah Sumari awe muungana na kufuta kauli au his closing remarks ambayo wabunge vipofu wa CCM waliifurahia na nadhani ndio msimamo rasmi wa serikali ya kwamba wamechoka na wimbo wake atafute hoja nyingine!!! Pinda hana majibu si kwa Richmond !! Karamagi!!! Masha!!! wala nini!!! it's game over na imekula kwa watanzania who can only see green!!!

Hoja zilikuwa za msingi na Sumary kama mkristo anakumbatia uongo!! Namwomba Askofu Malasusa amwagize Mchungaji Kiongozi wa KKKT Msasani amtoe kundini kama mtu aliyezaa nje ya ndoa !!

Kwa nini waruhusu kampuni yenye utata kuwa liquidated anataka yale ya Deep Green yafanyike kama alivyofanya Mpuuzu mwingine Lawrence Kego Masha! Eti anaheshimu sheria!! That is bull shit once liquidated it's game over na nyie CCM msicheke!!

Kama hakuna majibu Zitto komaa mwanangu na wewe Slaa weka chorous kuna siku msiyoijua Mudhihir atacheza japo hajatueleza how he lost his arm!!
 
Side effects of drugs abuse...pole SHY you need to rehabilitation counseling!

Ha ha ha a.....mkuu yaani ulikotoka umekuja na conclusion ya mabishano na kijana shy...hana evidance zozote....yeye kujua kujua kila kitu tu.You need some counseling kwa kweli.
 
Ndiyo raha ya Binadamu - Kila mtu ni kichaa ila tunapishana tu asilimia.
 
wewe zitto amesema uwongo mara nyingi siku moja hata nilikutana nae katika live debate kwenye ishu ya madini pale soma book cafe akashindwa kutetea matamshi yake hawa ni watu wa kuogopwa sana katika taifa hili

Shy!!

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!!! ...Kwahiyo kwasababu ulikutana nae akashindwa kutetea matamshi yake ndio asiwajibu wabunge majibu stahili?? ...YOu have some serious issues to deal with young man

Zitto is right, we need to change and be brave enough to call it a "spade" and nothing else. Na kuwa tayari kwa chochote is what we need!! Brave Zitto
 
habari wana JF swali langu ni kwamba ni kwani jk ameteua mawaziri wengi ambao hawajui lolote. wengi wao nawaona kama virungu tu.Au kuna fadhila anyoilipa.

Ni kwa sababu hayuko serious na Maendeleo ya Taifa letu. Mungu ibariki Tanzania.
 
Check hii kutoka Tanzania Daima
Kulindana
SERIKALI imeshtushwa na hatua ya Spika wa Bunge, Samuel Sitta ya kumkingia kifua Mbunge wa Nzega, Lucas Selelii (CCM), tangu alipotoa kauli yake akilalamikia matumizi ya fedha za ujenzi wa barabara ya Chalinze – Segera - Tanga. Waziri wa Miundombinu, Shukuru Kawambwa, alitoa kauli hiyo nzito jana kupitia simu yake ya kiganjani baada ya kutakiwa kutoa ufafanuzi kuhusu shutuma zilizoelekezwa katika wizara anayoiongoza za kutumia fedha za bajeti katika mradi wa ujenzi wa barabara kabla hazijapitishwa na Bunge.


Waziri Kawambwa alisema kinachomshangaza ni hatua ya Spika kukaa kimya na majibu aliyoyatoa, huku akieleza kuwa bado anayafanyia kazi, kauli inayoashiria kuwa serikali imetoa majibu yenye shaka, jambo aliloeleza kuwa si la kweli. Alisema, ni jambo lililo wazi kuwa Spika ana ajenda ya siri na Serikali ya Rais Kikwete na dalili zinaonekana wazi kwa kitendo chake cha kuwalinda baadhi ya wabunge ambao wamekuwa wakimshambulia rais bila kumtaja moja kwa moja.
 
Huyu ndio shy bwana,siku zote ukisoma mistari yake ni lazima utapata hamu ya kumuona kwa macho.Ingekuwa skendo na michango isiyokubalika na wengi ni kigezo cha mtu kutimuliwa JF,huyu angekuwa wa kwanza.
Mkuu,ukimuona Shy utamuhurumia,hizi njaa wakati mwingine zinamfanya mtu abwabwaje maneno ya HOVYO HOVYO.
 
keep it up Zitto!!!
Si tu alitoa majibu ya Hovyo bali alimkosea adabu Mh. Dr Slaa vibaya sana.
Nakuomba usiombe msamaha na wakiendelea waambie majibu yake yalikuwa ya kijinga kabisa.
Ndio maana wengi wanataka uongeze muda bungeni, ili hao wala nchi wajue muda umefika kikomo.

nenda shule mwanawane uwe na upande wa pili wa shilingi hao mafisadi hawaelewi wala hawajui wamepooza akili. Ila 2010 tutajaa bungeni moto utawaka. Hapata tosha wala kukalika.Watafungia wengi sana.
 
mimi sina chama wala dini lakini huyo kijana asidanganye jamii na ummah asifikiri vitisho vyake vitamtingisha yeyote , ninahamu angetaka kugombea jimbo la ubungo nisimame nae kama mgombea binafsi nimwonyeshe vijana walivyo si maneno matupu na vijitu vinatoa support kupumbazwa na kulaghaiwa tu



Mmh Shy! Mgombea binafsi Ubungo? Mmmh...!
 
Back
Top Bottom