Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 77
Huu ndio Ufisadi ambao watu makini lazima wapigie Kelele kila siku
Sijui itakuwaje ikija thibitika habari hizi si za kweli.....
Taarifa nilizozipata punde toka chanzo cha ndani kabisa kwa maana ya mtumishi wa TRL makao makuu ni kuwa wale vibosile wa TRL ambao ni wahindi wametoweka na kiasi kubwa cha fedha na kubakiwa wahindi wachache wa kada za chini ambao hata hivyo nao wamekuwa wakiondoka mmoja baada ya mwingine, naomba kanzi kafanye kazi hii ili kuthibisha ukweli huu au yeyote mwenye access na TRL atujuze juu ya tetesi hizi
Wakina Kahinda, Masaki,Rwabugiri na nyie member wengine wa JF nini mtafanya kuisaidia Tanzania,mbali na kusema 'ni shamba la bibi' au 'tulijua tu yatatokea kwa hao wahindi' n.k...
Phillemon, mi naelewe unayosema na siyo siri yanaumiza sana,anyway mi challenge yangu kwako na kwenu JF , ni vipi tutafanya kitu out of this, ikiwezeka kiwe tangible, yaani mchango wetu ni upi au nini tunaweza kufanya kwa taifa letu hili lililo oza, au tutabaki kuongelea hapa , na kuishia hapa tuu?suala la wahindi wa TRL kutoroshea pesa kwao sio siri.....kwani walipoingia tu pale kazi yao ya kwanza kufanya ilikuwa ni kuhamisha akaunti ya shirika toka NBC SAMORA kwenda BANK OF BARODA.......ambako wanaweza kuhamisha pesa bila kuulizwa na chura yeyote ....
pamoja na hali ya shirika kuwa tete inaelezewa kuwa mapato yatokanayo na gari ya mizigo tu peke yake yanatosha kuendesha shirika .....wateja wa mizigo wanalipa upfront....hata utawala wa waswahili wakati wa mpito kusubiri muwekezaji huuyu uliweza kuendesha shirika kwa kutegemea pesa za gari la mizigo....ya bara,rwanda ,burundi,congo etc.....na wala walikuwa hawapewi ruzuku kwa kiasi wanachopewa hawa wahindi....na mkizingatia walikuwa wakilipa watumishi zaidi ya 3,000 mishahara.....leo watumishi wapo 1,000 na pesa zinazoingia zimeongezeka yet wanashindwa kuwalipa mishahara.....
...kuna watanzania wengi wazalendo pale TRL WANGEONGEZEWA watanzania wengine wabunifu na wenye uwezo wa kuyatoa mashirika makaburini kama kina CHARLES KIMEI ...na watu wa aina hiyo ...wala tusingehitaji wawekezaji.....napendekeza TRL tuichukue hata leo....
Lakini watanzania watch this space....PINDA knows this ..na hata rais anajuwa....wahindi waliulizwa ni kiasi gani wanaweza kulipa ...wakataja ...kilichobakia wakakopeshwa mwezi uliopita kujazia viwango stahili.....lakini taarifa za ndani ni kuwa hata hicho kiwango walichoji commit ....hawataweza kulipa....so then....tusubiri tuone....~!!!...
...but its time now jk and his team start recruiting top management ....because anytime things can falll apart......na kwa mapendekezo yangu shirika la reli liendeshwe kwa ubia na serikali ya wajerumani..au makampuni yake...they have all what we need for the devolopment of our railway ...last time walitaka kuingia lakini ..wahindi walitoa rushwa ...and they ended up even not applied...
Mkuu, si kama hawawaamini. Huo mkopo ulikatazwa kupitia huko moja kwa moja kwa sababu kuna watu au mtu serikalini alishagundua kuwa ukipita huko hatopata (hawatopata) mgawo ndio maana wakaweka nguvu. Si kwamba wanaipenda nchi au hawaamini wahindi, wanayafikiria matumbo yao kwanzaCha kusikitisha ni kuwa hata serikali yetu haiwaamini hawa wahindi wa TRL lakini sijui kwanini waliwapa kuliendesha hili shirika. Nasema serikali haiwaamini kwa sababu hivi majuzi walipotaka kukopa mabilioni kutoka WB serikali ilishtuka ikasema pesa hizo ni nyingi sana ni lazima zipitie mikononi mwa serikali.
Wana JF mlioko Dar nendeni pale Algeria street kwenye office zao kama Chauddery (MD) Bishit, Kadamsingh na Khosla hawapo basi tumekwisha! hao ndo walikuwa wamebaki kama maboyaYes taarifa nilizozipata muda si mrefu ni kwamba wakurugenzi wa TRL yaani wale wahindi wapo kwa mkataba wa muda mfupi.Hivyo mtoa taarifa kaniambia kuwa hawa jama wa na Account ambay mkurugenzi wa fedha ndo mwenye dhamana ya kudraw and kuitunza lakini chanzo cha hela hizo ikiwa ni mapato ya TRL na zile zinazotolewa na serikali.
Hivyo Huyo mkugenzi wa fedha alipomaliza mkataba wake akajifanya anaeinda kuchukuwa vipuli huko kwao india ndo akdraw hela zote kwenye ile confidential account na kutimkia huko.
Hizo nd taarifa nilizozipata wakuu.