Tujikumbushe jamani tulipotoka enzi za masawe! na hata kwa wale wadogo zetu mnaweza kutuambia yaliyoendelea kujiri, na wakubwa wetu mtuambie waliyojiri pia.
Mnakumbuka enzi za kujificha kwenye madarasa ya steer-band, halafu maafande wakija ni kukimbizana nao,na wakitukamata kwato lake si mchezo.
tunakumbuka jiteute kwa michezo jamani??mpira wa kikapu tulikuwa juu...
karibuni tujikumbushe.