Recent content by Omnibus

  1. O

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Usitupe silaha kwa kutegemea mbio.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Mashine mpya Tanzania

    Aaag Mkuu nilifikiri ni yako umegudua kumbe ni ya kuagiza! Wahi kabla hamjawa wengi.
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka mitatu, mzazi mwenzangu anisaiidii malezi

    Nimecheka sana hii
  4. O

    JamiiForums Tanzania Jamaniee Kafungwa Babu Seya na muziki bado unaendelea sembuse ninyi Yanga?

    Jamani hivi huyu Mzee na wanae bado wamefungwa??????
  5. O

    JamiiForums Tanzania Singasinga wa IPTL, Harbinder Singh Sethi atoweka

    Ungekuwa wewe ungesubilia ukamatwe wakati walisha kupa muda wa kusepa?
  6. O

    JamiiForums Tanzania RwandAir named among World's Safest Airlines

    Mkuu usemalo ni ukweli mtupu, na aliyesema akili ni nywele na kila mtu anazake alikuwa sahihi. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
  7. O

    JamiiForums Tanzania George Stinney, mtoto wa kwanza kuwahi kuhukumiwa kifo na kunyongwa nchini Marekani

    Duuh! Inasikitisha sana, na kinacho sikitisha zaidi ni kwamba ntill now bado hawamwoni mwafrika kama kiumbe anayesitahiri kuthaminiwa kama wao.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Majimbo ya Wabunge Walionesha Msimamo Sakata la ESCROW Natoa Rai Wabaki 2015

    Mkuu kwani umesahau kuwa ukiinyooshea Siri Kali kidole wanakimbilia kuchungulia kwenye Profile yako, nafikiri ndio maana Wabunge wote wenye Uraia wakwenye makalatasi wameuchuna wasije wakaitwa Tumbili Weupe.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Majimbo ya Wabunge Walionesha Msimamo Sakata la ESCROW Natoa Rai Wabaki 2015

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Kwa hili sakata lilivyokuwa na mgongano mkubwa wa kimasilahi hapa madam spika amekuwa balanced kwa manufaa ya uma zaidi.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    Jamani huku sikuzinguana?? Sasa wameahirisha mpaka saa 11 jioni ili watwambie wameshapata stop order?????,
  11. O

    JamiiForums Tanzania Rais Jakaya Kikwete kurejea nyumbani Novemba 29, 2014

    Duh!!! Nilikuwa naangalia tu.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Balozi wa US alikuwa anafanya nini Dodoma?

    Mkuu leo ni siku muhimu sana kwa nchi hii, tutajua mbivu na mbichi.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa Jua kesho

    Mkuu umefikiria mbali,
  14. O

    JamiiForums Tanzania Ndoto za kupaa na kuelea hewani zinaashiria nini?

    Waugwana na hii ya kumfikiria mtu au kitu chochote na baada ya muda mfupi ukakiona au ukamwona huyo mtu uliyekuwa unamfikiria, hiyi nayo imekaaje? Msaada tafadhari kwa anayejua utafafanulie.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Kwa Waliopitia JKT tu.....!!!!

    Weye mgeni humu ndani? Huu uzi ulishaletwa humu ndani siku nyingi makuchangiwa vya kutosha.
Back
Top Bottom