Hivi kwa nini bunge lisipige kura ya kutokua na imani na raisi?
wabunge wa ccm hawawezi na ndo wengi
Hivi kwa nini bunge lisipige kura ya kutokua na imani na raisi?
Hivi hao majaji ni kina nani? Tunapaswa kuwafahamu. Ipo siku nchi itavamiwa na na waliotuvamia watapeleka zuio mahakamani kuwa JWTZ ISIJIBU MASHAMBULIZI hadi hapo shauri la msingi litakapozungumziwa mahakamani kwa hiyo wacha watuchape tuu.