RwandAir named among World's Safest Airlines

chabuso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,788
2,000
rw.jpg
Receiving the certificate makes RwandAir eligible to fly to any part of the world.

RwandAir has been named among the safest airlines in the world by the International Air Transport Association (IATA). The national carrier was awarded a certificate of safety worthiness after passing the IATA operational audit (IOSA) making RwandAir eligible to fly to any part of the world.

IATA vice-president, Raphael Kuuchi said that the country's aviation industry is set to play an important role in Rwanda's economic development. This was during a handing over of the certificate at the Kigali International Airport.

This recognition also allows RwandAir to enter into code share deals with five-star airlines without any restrictions.

The IATA audit is a globally recognised evaluation system that evaluates the operational management and control systems of an airline.


Source:http://thisisafrica.me/rwandair-named-among-worlds-safest-airlines/
 

East African Eagle

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
3,761
1,195

chabuso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,788
2,000
Wewe vipi? Bila kuitaja Tz huwezi kuipaisha Rwanda? Who cares????
Lazima niifananishe Tz na Rwanda hawa wenzetu wamemaliza vita vya kuuana wenyewe kwa wenyewe juzi tu,lakini kwasababu wana kiongozi mzuri mambo yao yanakwenda vizuri...

sisi tujiita wabongo tunasaga chuma,ndio kwanza tunasika viongozi wanaiba huju ba kule ....

Bravo Kagame waonyeshe.......vipi mtawala anatawala
 

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
6,333
2,000
Hizo ndege toka zianze kusafiri angani zilishatengeneza faida au ni u-bishow tu wakati zinakula kodi ya wanyarwanda bure tu kwa kutafuta sifa za kuonekana wana ndege zinazoruka angani?

Mwenye published financial statements za Air RWANDA atuwekee hapa kabla ya kuvurumishia matusi Air Tanzania.
Kama kawaida wabongo hatukosi sababu
 

anjo

JF-Expert Member
Jun 13, 2009
299
195
Nilivyoona aliyetoa mada hakuzungumzia chochote kuhusu Tanzania.
Katika kujadili watu lazima walinganishe na nchi za jirani zikiwemo Tanzania, Uganda na Burundi ambazo kwa ukweli hazifanyi vizuri katika secta hii.
 

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
25,824
2,000
Kwahio wewe lengo lako Nn? Unataka ushabik wa Tanzania au? kwahio umeona Tanzania tu. Mtu ukitoka chooni ukijahapa ni tanzania webwana haya AIRTANZANIA HAIPO,NENDA KANYWE GONGO
 

chabuso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,788
2,000
Ngonjera tu hizo Ndege zake anazotumia ni kati ya ndege zenye risky sana. Anadanganywa ili kichwa kikuwe kama boga!!!
Watanzania bana...halafu kichwa kikikua ndio iwe nini...acha amwagiwe sifa Mr President Kagame ni haki yake,Je rasi wetu asifiwe kwa kwa kitu gani
 

East African Eagle

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
3,761
1,195
Watanzania bana...halafu kichwa kikikua ndio iwe nini...acha amwagiwe sifa Mr President Kagame ni haki yake,Je rasi wetu asifiwe kwa kwa kitu gani
kIKWETE ASIFIWE KWA KUWATANDIKA M23 waliokuwa wakitumika kuiba madini kongo yaliyotumika kuanzisha RWANDAIR ambayo ilipewa jukumu la kusafirisha madini ya wizi ya kongo kupeleka nchi zingine kuyauza kwa maharamia wanunuzi wa madini na hela zake kuwekwa kwenye akaunti za viongozi wa Rwanda.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom