Recent content by Omary Kipingu

  1. Omary Kipingu

    Mahafali ya Vyuo Vikuu Dar

    *13/5/2018* Katika Mahafali ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa *Dar es Salaam* Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM *Ndg Tabia Maulid Mwita(Mnec)* Amewapongeza Vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu kwa Kuunga mkono jitihada za Serikali ya Chama cha Mapinduzi na kuwapatia Vyeti *Wahitimu 556* katika...
  2. Omary Kipingu

    Zenda: Asifu utendaji kazi wa kata ya Chamazi, azungumzia kitabu cha hatubebi mabegi

    *ZENDA: ASIFU UTENDAJI KAZI WA KATA YA CHAMAZI, AZUNGUMZIA KITABU CHA HATUBEBI MABEGI*. Na: Mwandishi wetu. Upanga, Dar es Salaam. Alhamisi 5 April 2018. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Chamazi Ndg. *Nasri Mkalipa* amekutana na kuzungumza na Kaimu Katibu wa...
  3. Omary Kipingu

    Wasomi 1,500 wa Vyuo Vikuu wajiunga CCM

    LEO TAR 01/02/ 2018 *Kaimu katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu* Ndg Daniel Zenda Leo amekabidhi kadi za Wanachama Uvccm 1500 kwa *katibu Hamasa Seneti ya Mkoa wa Dsm* Ndg Juakali kuwanya , Baada ya Mwamko mkubwa wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuunga mkono na kuvutiwa na Utendaji Uliotukuka wa...
  4. Omary Kipingu

    UVCCM idara vyuo vikuu kusaidai wanafunzi mikopo

    *ZIARA YA KAIMU KATIBU WA IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU BODI YA MIKOPO* Tarehe 07/11/2017 Mchana wa Leo kaimu katibu Wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu ndg *Daniel Zenda* ametembelea ofisi za Bodi ya Mikopo kujua kinachoendelea kutokana na Malalamiko yaliyojitokeza kwa wanafunzi walio kosa Mikopo...
  5. Omary Kipingu

    Heko idara vyuo vikuu kwa kukuza viongozi

    HEKO IDARA VYUO VIKUU Uongozi hujengwa na vitendo vya kujenga viongozi wengine, kiongozi asiyeweza kujenga viongozi wengine hafai kuwa kiongozi Bali kiongozi anayetengeneza mazingira ya kujenga viongozi wengine Huyo ndio kiongozi. Idara ya Vyuo vikuu chini ya uongozi wa comrade Daniel Zenda...
  6. Omary Kipingu

    Ufafanuzi kuhusu UVCCM Kuombea Mikopo wanafunzi waliokosa Mikopo

    Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Omary Kipingu

    Agizo la Rais Magufuli kwa vyuo vikuu kutekelezwa

    *AGIZO LA RAIS MAGUFULI KWA VYUO VIKUU KUTEKELEZWA* Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Ndg. Daniel Zenda (pichani) akipata maelezo juu mfumo wa udahili wa wanafunzi (System Based on Admission of New Students) katika banda la Tume ya vyuo vikuu (TCU). Hiyo ni katika kutimiza...
  8. Omary Kipingu

    Zenda awapongeza mashujaa wa Tanzania siku ya mashujaa

    ALICHOZUNGUMZA KAIMU KATIBU IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU UVCCM KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA NCHINI TANZANIA KATIKA KITUO CHA TELEVISION TV1 Jana tarehe 25/07/2017 ilikuwa ni siku ya maadhimisho ya kumbukizi ya mashujaa nchini. Hiki ndicho alichokizungumza mchambuzi wa maswala ya kijamii...
  9. Omary Kipingu

    Zenda aongoza wasomi vyuo vikuu kumuunga mkono Rais Magufuli

    *WASOMI WA VYUO NA VYUO VIKUU WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI* -------------------------------------- Na: Nassir Bakari Upanga, Dar es Salaam. *Kaimu Katibu Mkuu wa Idara ya vyuo na vyuo vikuu komrade Daniel Zenda leo amefanya kikao cha kazi na wasomi wa vyuo na vyuo vikuu vilivyopo jijini Dar...
  10. Omary Kipingu

    Polepole akutana na katibu wa balozi wa China Tanzania

    Ndg HUMPHREY POLEPOLE AKUTANA NA COUNSELLOR NA KATIBU WA BALOZI WA CHINA- CCM LUMUMBA 27 JUNE,2017 Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole amekutana na Viongozi wa Ubalozi wa China Leo katika Ofisi Ndogo Lumumba kujadili Mambo Mbali Mbali ya Kiutendaji kichama na Kiserikali na...
  11. Omary Kipingu

    Mafunzo kwa vijana wa vyuoni CCM yamalizika Hombolo, vijana wamuunga mkono rais Magufuli

    *KAMBI, MAFUNZO KWA VIJANA WA VYUO NA VYUO VIKUU CCM YAMALIZIKA HOMBOLO, VIJANA WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI* --------------------------------------. Na: Mwandishi wetu. Dodoma, Tanzania. *Wanafunzi kutoka vyuo 10 vya Mjini Dodoma wamemaliza Kambi/Mafunzo ya siku tatu(3) yaliyotolewa kwa...
  12. Omary Kipingu

    WanaCCM Vyuo Vikuu DSM watunukiwa vyeti

    *WANACHAMA 681 KUTOKA UMOJA WA VIJANA WA CCM VYUO NA VYUO VIKUU MKOA WA DAR ES SALAAM WATUNUKIWA VYETI VYA KUHITIMU MASOMO YAO*. Ni mahafali ya pili ya CCM Vyuo vikuu dar Mgeni rasmi Naibu katibu mkuu CCM Tanzania Bara Comrade Mpogolo..Pia viongozi mbalimbali walikuwepo: Kaimu Katibu mkuu...
  13. Omary Kipingu

    Kaimu Katibu wa idara ya vyuo na vyuo vikuu UVCCM, Daniel Zenda atoa salamu za kushukuru

    KAIMU KATIBU WA IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU UVCCM,DANIEL ZENDA ATOA SALAMU ZA KUSHUKURU WANA CCM NA WATANZANIA KWA UJUMLA KWA MSIBA WA MAMA YAKE. Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo vikuu ndugu Daniel Moses Zenda.Leo Jumatatu tarehe 22 / 05 / 2017/ Ametoa Shukrani zake kwa wanachama wa...
  14. Omary Kipingu

    Polepole mgeni rasmi Mahafali ya UVCCM UDOM

    *Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM kuwanoa Wahitimu na kukabidhi Vyeti 402 ktk Mahafali Umoja wa vijana CCM Vyuo na Vyuo Vikuu.* Tarehe 13/05/2017 Umoja wa Vijana idara ya Vyuo na Vyuo vikuu walikuwa na Mahafali ya kuwaaga wahitimu wa Vyuo Mkoa wa Dodoma ambao ni wanaCCM . Hafla hiyo...
  15. Omary Kipingu

    Makada wa Uvccm Vyuo na Vyuo Vikuu

Back
Top Bottom