Mafunzo kwa vijana wa vyuoni CCM yamalizika Hombolo, vijana wamuunga mkono rais Magufuli

Omary Kipingu

Member
Feb 22, 2016
40
125
*KAMBI, MAFUNZO KWA VIJANA WA VYUO NA VYUO VIKUU CCM YAMALIZIKA HOMBOLO, VIJANA WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI*
--------------------------------------.

Na: Mwandishi wetu.

Dodoma, Tanzania.

*Wanafunzi kutoka vyuo 10 vya Mjini Dodoma wamemaliza Kambi/Mafunzo ya siku tatu(3) yaliyotolewa kwa Lengo la kuwaongezea Ufahamu juu ya Chama Cha Mapinduzi na Mambo mbalimbali yanayoendela hapa nchini*.

Mafunzo hayo yaliyofunguliwa 23/06/2017 na Katibu wa NEC itikadi na Uenezi Ndg. Humphrey Polepole na kufungwa 25/06/2017 na Katibu wa NEC siasa na uhusiano wa Kimataifa Ndg. Ngemela Lubinga yalihusisha wajumbe 551 wa Vyuo na Vyuo Vikuu vilivyopo katika Mkoa wa Dodoma.

Akizungumza wakati wakati wa Kambi/Mafunzo hayo Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndg. Ngemela alisema Serikali ya Awamu ya tano(5) imejiandaa kikamilifu kikamilifu kupambana na Wezi wa mali za Umma.

*_"Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli imejipanga katika kuzuia mianya yote ya rushwa, nasisitiza kuwa hakuna mwizi atakayesalia katika ujenzi wa CCM Mpya na Tanzania mpya_*" alisema Ndg. Lubinga

Pia akizungumza baada ya kufungwa mafunzo hayo Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na vyuo vikuu UVCCM Ndg. Daniel Zenda alisema kambi imeisha salama na vijana wameyapokea vizuri mafunzo hayo.

*_"Tunamshukuru mungu tumemaliza salama kambi/ mafunzo yetu na vijana wameyapokea vizuri na kuahidi kuyafanyia kazi yale yote waliyofundishwa sambamba na kumuunga mkono Rais John Pombe Magufuli kwa yale yote anayoyafanya_*" alisema Kaimu Katibu wa Vyuo na Vyuo Vikuu.

Pamoja na hatua aliyochukua Rais Magufuli juu ya kuzuia kusafirisha mchanga wa madini inapaswa kuungwa mkono na watanzania wote kwani pesa hizo zingesaidia kufanya shughuli nyingi za Maendeleo kama kuwezesha vijana kupata mikopo kupitia vikundi na Mikopo ya elimu ya juu, ujenzi wa Madarasa, Mabweni, Hospitali na Nyumba za walimu.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti washiriki wa mafunzo hayo waliwataka wawe wazalendo kwa nchi yetu sambamba na kumuunga mkono Rais Magufuli kwa yale anayoyafanya ya kuwatetea wananchi wa Tanzania hususani Maskini na wanyonge. Dhamira na hatua anazochukua tunaziona kwa Vitendo ni dhahiri na ni shairi. *"Maana Uzalendo ni Vitendo"*

Wakati huo huo baada ya kumaliza mafunzo hayo Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndg. Ngemela Lupinga aliweka Jiwe la Msingi kwenye Ujenzi wa Ofisi ya Vyuo na Vyuo Vikuu Tawi la Hombolo.
IMG-20170627-WA0013.jpg
IMG-20170626-WA0418.jpg
ATTACH]
 
Attachments

 • IMG-20170626-WA0408.jpg
  File size
  107.7 KB
  Views
  7
 • IMG-20170626-WA0396.jpg
  File size
  129.1 KB
  Views
  7
 • IMG-20170626-WA0374.jpg
  File size
  67.2 KB
  Views
  6

mgoloko

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
4,723
2,000
*KAMBI, MAFUNZO KWA VIJANA WA VYUO NA VYUO VIKUU CCM YAMALIZIKA HOMBOLO, VIJANA WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI*
--------------------------------------.

Na: Mwandishi wetu.

Dodoma, Tanzania.

*Wanafunzi kutoka vyuo 10 vya Mjini Dodoma wamemaliza Kambi/Mafunzo ya siku tatu(3) yaliyotolewa kwa Lengo la kuwaongezea Ufahamu juu ya Chama Cha Mapinduzi na Mambo mbalimbali yanayoendela hapa nchini*.

Mafunzo hayo yaliyofunguliwa 23/06/2017 na Katibu wa NEC itikadi na Uenezi Ndg. Humphrey Polepole na kufungwa 25/06/2017 na Katibu wa NEC siasa na uhusiano wa Kimataifa Ndg. Ngemela Lubinga yalihusisha wajumbe 551 wa Vyuo na Vyuo Vikuu vilivyopo katika Mkoa wa Dodoma.

Akizungumza wakati wakati wa Kambi/Mafunzo hayo Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndg. Ngemela alisema Serikali ya Awamu ya tano(5) imejiandaa kikamilifu kikamilifu kupambana na Wezi wa mali za Umma.

*_"Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli imejipanga katika kuzuia mianya yote ya rushwa, nasisitiza kuwa hakuna mwizi atakayesalia katika ujenzi wa CCM Mpya na Tanzania mpya_*" alisema Ndg. Lubinga

Pia akizungumza baada ya kufungwa mafunzo hayo Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na vyuo vikuu UVCCM Ndg. Daniel Zenda alisema kambi imeisha salama na vijana wameyapokea vizuri mafunzo hayo.

*_"Tunamshukuru mungu tumemaliza salama kambi/ mafunzo yetu na vijana wameyapokea vizuri na kuahidi kuyafanyia kazi yale yote waliyofundishwa sambamba na kumuunga mkono Rais John Pombe Magufuli kwa yale yote anayoyafanya_*" alisema Kaimu Katibu wa Vyuo na Vyuo Vikuu.

Pamoja na hatua aliyochukua Rais Magufuli juu ya kuzuia kusafirisha mchanga wa madini inapaswa kuungwa mkono na watanzania wote kwani pesa hizo zingesaidia kufanya shughuli nyingi za Maendeleo kama kuwezesha vijana kupata mikopo kupitia vikundi na Mikopo ya elimu ya juu, ujenzi wa Madarasa, Mabweni, Hospitali na Nyumba za walimu.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti washiriki wa mafunzo hayo waliwataka wawe wazalendo kwa nchi yetu sambamba na kumuunga mkono Rais Magufuli kwa yale anayoyafanya ya kuwatetea wananchi wa Tanzania hususani Maskini na wanyonge. Dhamira na hatua anazochukua tunaziona kwa Vitendo ni dhahiri na ni shairi. *"Maana Uzalendo ni Vitendo"*

Wakati huo huo baada ya kumaliza mafunzo hayo Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndg. Ngemela Lupinga aliweka Jiwe la Msingi kwenye Ujenzi wa Ofisi ya Vyuo na Vyuo Vikuu Tawi la Hombolo. View attachment 531236 View attachment 531237
ATTACH]
Mwizi anayeshughulikia wezi wenzake au unamaanisha nini?
 
Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
11,130
2,000
Bujibuji Mkuu Bujibuji, kwani huu mtandao wa jf ni wa chama fulani? . Nijuavyo mimi jf ni mtandao huru usiofungamana na chama chochote, na members humu wako wenye vyama vyao na pia tuko akina sisi tusio na vyama bali hoja zetu ni kutanguliza maslahi ya taifa.

Paskali
Mkuu Paskal nitangulie kusema kwamba post yangu hii haina uhusiano na post yako hii wala nyingine yoyote ile kwahiyo wadau waniwie radhi na post hii isiwe mjadala!!!

Lakini kwa upande mwingine mimi nimekulia katika dhana ya babangu kwamba ndoto ni matokeo ya ujinga ujinga unaowaza wakati hujalala na kisha unaanza kuu-hallucinate wakati umelala! Usiku wa kuamkia leo, nimegundua Baba angu ni mwongo, mzushi au angalau dhana yake sio sahihi kwa 100%! Hii ni baada ya kuota nipo na Paskali kwenye viwanja vya Magogoni... safari tulienda wote!! Baada ya kupiga stori za hapa na pale mara Paskal dizaini kama ukanifukuza flani hivi kwa kuniambia nitangulie kusepa kumbe huku nyuma mwenzangu ulikuwa unakula shavu toka kwa Mkulu wa Kaya!!!

Wengine sie tuna karama za ajabu... ukitangaziwa rasmi; usinitupe! Kumbuka tulienda wote Magogoni! Usiwe na hofu, nitaanza kuimba nyimbo tamu za makinikia hadi wadau watanipenda!
 
Raynavero

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
38,010
2,000
Kuliko unavyotia aibu wewe kwa unafiki na chuki dhidi ya wengine?
Kwani kukusanyika kujadili mambo yao wewe unapata aibu gani kama siyo kuropoka.
sina chuki wala sijaropoka kama umekasirika wewe mlugaluga wa PANDAKICHIZA kimpango wakoooooo...
WANATIA AIBU...NJAA MBAYA....!!!!
 
Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
11,130
2,000
Namshukuru Mungu kwa kuniepusha kuwa sehemu ya wapiga makofi wa wanasiasa na vyama vyao... ahsante Mungu!!!!
 
GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
1,984
2,000
Hao vijana washangilie sana. Wakirud mtaan waunge foleni ya msoto afu tuone kama wataendlea kumsifu huyo mwenyekit wao. Kuna rafk zang wamehtmu chuo lakn sasa hv wapo mtaan hata vocha inazingua. Ukiongelea ccm hawatak hata kuckia
 
Akasankara

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
3,083
2,000
Labda ilikuwa kambi ya kupeana mafunzo ya jinsi ya kuiba fedha za Umma, kubagua wananchi, roho mbaya kwa wapinzani nk.
 
mkafrend

JF-Expert Member
May 12, 2014
3,050
2,000
Wamefanya vizuri, wenzao wanatamani maandamano ya kubariki makinikia yaendelee kusafirishwa na kuibiwa!!
 
kampelewele

JF-Expert Member
Oct 13, 2014
2,769
2,000
Bujibuji Mkuu Bujibuji, kwani huu mtandao wa jf ni wa chama fulani? . Nijuavyo mimi jf ni mtandao huru usiofungamana na chama chochote, na members humu wako wenye vyama vyao na pia tuko akina sisi tusio na vyama bali hoja zetu ni kutanguliza maslahi ya taifa.

Paskali
Kusema za ukweli jf ni hivyo ndo maana.......
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom