Polepole akutana na katibu wa balozi wa China Tanzania

Omary Kipingu

Member
Feb 22, 2016
40
48
Ndg HUMPHREY POLEPOLE AKUTANA NA COUNSELLOR NA KATIBU WA BALOZI WA CHINA- CCM LUMUMBA 27 JUNE,2017

Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole amekutana na Viongozi wa Ubalozi wa China Leo katika Ofisi Ndogo Lumumba kujadili Mambo Mbali Mbali ya Kiutendaji kichama na Kiserikali na Ugeni huo umeongozwa na;

Cde:Dong Zhenyu, Katibu wa Balozi wa China Nchini Tanzania,
Cde; Dai Xu Counsellor wa China Nchini Tanzania Pamoja na Ndg George Daniel Afisa Idara ya Siasa na Uhusiano KimaTaifa na baadhi ya Watendaji Idara ya Itikadi na Uenezi.

Lengo la ugeni huo lilikuwa ni kujifunza Uzoefu wa Chama Cha Mapinduzi Jinsi kinavyoendesha Mafunzo Kwa Makada, Nafasi ya Chama Tawala Nchini Tanzania,Utendaji wa Chama,Uteuzi wa Makada ktk kukitumikia Chama na Serikali.Lakini pia Uendeshaji wa Mafunzo kichama

Ndg Humphrey Polepole aliwafafanulia na kuelezea jinsi Chama kilivyokuwa kikitoa Mafunzo Mbali Mbali kuanzia 1961 hadi 1991 wakati wa Chama Kimoja yaani TANU baadaye CCM hadi sasa.

Ndg Humphrey Polepole alitaja Baadhi ya Vyuo vya Mafunzo hayo vilikuwa kama ifuatavyo;

Kivukoni College Kigamboni- Dar Es Salaam, Lushoto -Tanga, Ilonga Kilosa, Hombolo- Dodoma, Msaginya- Rukwa, Murutunguru- Ukerewe.Vyote hivyo Vilikuwa ni Vyuo vya Mafunzo ya Uongozi kwa Makada na Watendaji wa Serikali Kuanzia Serikali Kuu na Serikali za Mitaa Kabla na baada ya Uteuzi.

Counsellor wa Balozi wa China Nchini Tanzania ndg Dai Xu amepongeza Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi kwa jinsi kilivyo na Mfunzo Mzuri kwa Kuwaandaa Makada na Viongozi ktk kulitumikia Taifa la Tanzania.

Uongozi wa China Nchini Tanzania kwa niaba ya Serikali ya China na Chama Tawala CPC umeahidi kushirikiana na CCM ktk Kuimarisha Mafunzo kwa Vijana na Makada wa Chama Tawala ili kuendeleza Umoja na Mshikamano ulioasisiwa na Waasisi wa Mataifa yote Mawili yaani Tanzania na China.
IMG-20170627-WA0218.jpg
 
Ndg HUMPHREY POLEPOLE AKUTANA NA COUNSELLOR NA KATIBU WA BALOZI WA CHINA- CCM LUMUMBA 27 JUNE,2017

Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole amekutana na Viongozi wa Ubalozi wa China Leo katika Ofisi Ndogo Lumumba kujadili Mambo Mbali Mbali ya Kiutendaji kichama na Kiserikali na Ugeni huo umeongozwa na;

Cde:Dong Zhenyu, Katibu wa Balozi wa China Nchini Tanzania,
Cde; Dai Xu Counsellor wa China Nchini Tanzania Pamoja na Ndg George Daniel Afisa Idara ya Siasa na Uhusiano KimaTaifa na baadhi ya Watendaji Idara ya Itikadi na Uenezi.

Lengo la ugeni huo lilikuwa ni kujifunza Uzoefu wa Chama Cha Mapinduzi Jinsi kinavyoendesha Mafunzo Kwa Makada, Nafasi ya Chama Tawala Nchini Tanzania,Utendaji wa Chama,Uteuzi wa Makada ktk kukitumikia Chama na Serikali.Lakini pia Uendeshaji wa Mafunzo kichama

Ndg Humphrey Polepole aliwafafanulia na kuelezea jinsi Chama kilivyokuwa kikitoa Mafunzo Mbali Mbali kuanzia 1961 hadi 1991 wakati wa Chama Kimoja yaani TANU baadaye CCM hadi sasa.

Ndg Humphrey Polepole alitaja Baadhi ya Vyuo vya Mafunzo hayo vilikuwa kama ifuatavyo;

Kivukoni College Kigamboni- Dar Es Salaam, Lushoto -Tanga, Ilonga Kilosa, Hombolo- Dodoma, Msaginya- Rukwa, Murutunguru- Ukerewe.Vyote hivyo Vilikuwa ni Vyuo vya Mafunzo ya Uongozi kwa Makada na Watendaji wa Serikali Kuanzia Serikali Kuu na Serikali za Mitaa Kabla na baada ya Uteuzi.

Counsellor wa Balozi wa China Nchini Tanzania ndg Dai Xu amepongeza Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi kwa jinsi kilivyo na Mfunzo Mzuri kwa Kuwaandaa Makada na Viongozi ktk kulitumikia Taifa la Tanzania.

Uongozi wa China Nchini Tanzania kwa niaba ya Serikali ya China na Chama Tawala CPC umeahidi kushirikiana na CCM ktk Kuimarisha Mafunzo kwa Vijana na Makada wa Chama Tawala ili kuendeleza Umoja na Mshikamano ulioasisiwa na Waasisi wa Mataifa yote Mawili yaani Tanzania na China.View attachment 531559
Aisee polepole anazidi kuwa mzee hii kazi ya katibu uenezi inabidi kumzeesha
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa chama asiyeendana na kukibaliana na baadhi ya vyeo vitokanavyo na chama chake

Hiyo nafasi bora wampe Lyatonga Mrema watu wanaujua msimamo wake na hana ndimi mbili
 
Swali langu kuna mahali nimesema Pole pole anafanya kazi ya Kinana? Mi numeulizia tu Comrade Kinana bado katumwa India?
Hivi unafikiri vichaa wa CCM kuna kitu wanachoelewa wao kukurupuka ni hulka yao
 
Mzee kijana polepole utafikiri mwili umekosa virutubisho Hakika ccm kuna wanyonya damu..aombe hata dawa za kichina zimsaidie
 
Hamfrei ni moja ya vijana werevu ktk Taifa letu ila uchumia tumbo na usaliti nimoja ya mambo yaliyomdhalilisha..
 
Ndg HUMPHREY POLEPOLE AKUTANA NA COUNSELLOR NA KATIBU WA BALOZI WA CHINA- CCM LUMUMBA 27 JUNE,2017

Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole amekutana na Viongozi wa Ubalozi wa China Leo katika Ofisi Ndogo Lumumba kujadili Mambo Mbali Mbali ya Kiutendaji kichama na Kiserikali na Ugeni huo umeongozwa na;

Cde:Dong Zhenyu, Katibu wa Balozi wa China Nchini Tanzania,
Cde; Dai Xu Counsellor wa China Nchini Tanzania Pamoja na Ndg George Daniel Afisa Idara ya Siasa na Uhusiano KimaTaifa na baadhi ya Watendaji Idara ya Itikadi na Uenezi.

Lengo la ugeni huo lilikuwa ni kujifunza Uzoefu wa Chama Cha Mapinduzi Jinsi kinavyoendesha Mafunzo Kwa Makada, Nafasi ya Chama Tawala Nchini Tanzania,Utendaji wa Chama,Uteuzi wa Makada ktk kukitumikia Chama na Serikali.Lakini pia Uendeshaji wa Mafunzo kichama

Ndg Humphrey Polepole aliwafafanulia na kuelezea jinsi Chama kilivyokuwa kikitoa Mafunzo Mbali Mbali kuanzia 1961 hadi 1991 wakati wa Chama Kimoja yaani TANU baadaye CCM hadi sasa.

Ndg Humphrey Polepole alitaja Baadhi ya Vyuo vya Mafunzo hayo vilikuwa kama ifuatavyo;

Kivukoni College Kigamboni- Dar Es Salaam, Lushoto -Tanga, Ilonga Kilosa, Hombolo- Dodoma, Msaginya- Rukwa, Murutunguru- Ukerewe.Vyote hivyo Vilikuwa ni Vyuo vya Mafunzo ya Uongozi kwa Makada na Watendaji wa Serikali Kuanzia Serikali Kuu na Serikali za Mitaa Kabla na baada ya Uteuzi.

Counsellor wa Balozi wa China Nchini Tanzania ndg Dai Xu amepongeza Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi kwa jinsi kilivyo na Mfunzo Mzuri kwa Kuwaandaa Makada na Viongozi ktk kulitumikia Taifa la Tanzania.

Uongozi wa China Nchini Tanzania kwa niaba ya Serikali ya China na Chama Tawala CPC umeahidi kushirikiana na CCM ktk Kuimarisha Mafunzo kwa Vijana na Makada wa Chama Tawala ili kuendeleza Umoja na Mshikamano ulioasisiwa na Waasisi wa Mataifa yote Mawili yaani Tanzania na China.View attachment 531559
Hii ndiyo kazi inayotakiwa sio yule Mashinji. Kwanza huyo Mashinji hata akipaka mkorogo wote wa nchi hii bado tu atakuwa mweusi tii. Mwache aendelee kujifungia pale Ufipa street huku lichama lake linaporomoka.
 
Ndg HUMPHREY POLEPOLE AKUTANA NA COUNSELLOR NA KATIBU WA BALOZI WA CHINA- CCM LUMUMBA 27 JUNE,2017

Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Humphrey Polepole amekutana na Viongozi wa Ubalozi wa China Leo katika Ofisi Ndogo Lumumba kujadili Mambo Mbali Mbali ya Kiutendaji kichama na Kiserikali na Ugeni huo umeongozwa na;

Cde:Dong Zhenyu, Katibu wa Balozi wa China Nchini Tanzania,
Cde; Dai Xu Counsellor wa China Nchini Tanzania Pamoja na Ndg George Daniel Afisa Idara ya Siasa na Uhusiano KimaTaifa na baadhi ya Watendaji Idara ya Itikadi na Uenezi.

Lengo la ugeni huo lilikuwa ni kujifunza Uzoefu wa Chama Cha Mapinduzi Jinsi kinavyoendesha Mafunzo Kwa Makada, Nafasi ya Chama Tawala Nchini Tanzania,Utendaji wa Chama,Uteuzi wa Makada ktk kukitumikia Chama na Serikali.Lakini pia Uendeshaji wa Mafunzo kichama

Ndg Humphrey Polepole aliwafafanulia na kuelezea jinsi Chama kilivyokuwa kikitoa Mafunzo Mbali Mbali kuanzia 1961 hadi 1991 wakati wa Chama Kimoja yaani TANU baadaye CCM hadi sasa.

Ndg Humphrey Polepole alitaja Baadhi ya Vyuo vya Mafunzo hayo vilikuwa kama ifuatavyo;

Kivukoni College Kigamboni- Dar Es Salaam, Lushoto -Tanga, Ilonga Kilosa, Hombolo- Dodoma, Msaginya- Rukwa, Murutunguru- Ukerewe.Vyote hivyo Vilikuwa ni Vyuo vya Mafunzo ya Uongozi kwa Makada na Watendaji wa Serikali Kuanzia Serikali Kuu na Serikali za Mitaa Kabla na baada ya Uteuzi.

Counsellor wa Balozi wa China Nchini Tanzania ndg Dai Xu amepongeza Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi kwa jinsi kilivyo na Mfunzo Mzuri kwa Kuwaandaa Makada na Viongozi ktk kulitumikia Taifa la Tanzania.

Uongozi wa China Nchini Tanzania kwa niaba ya Serikali ya China na Chama Tawala CPC umeahidi kushirikiana na CCM ktk Kuimarisha Mafunzo kwa Vijana na Makada wa Chama Tawala ili kuendeleza Umoja na Mshikamano ulioasisiwa na Waasisi wa Mataifa yote Mawili yaani Tanzania na China.View attachment 531559

Hivi huyu jamaa ni Kijana ama Mzee??

Sura yake haiconfirm umri wake

Vilevile sielewagi anasimami kitu gani maana tangu mwanzo alikua ni muumini Wa Serikali 3 ila umaskini mbaya sana
 
Mzee kijana polepole utafikiri mwili umekosa virutubisho Hakika ccm kuna wanyonya damu..aombe hata dawa za kichina zimsaidie
Unafiki una tabia ya kuharibu afya ya mtu. Ndani ya ccm lazima maisha yaende kinafiki hivyo ni hatari kwa afya ya muhusika. Ona sasa hivi Nape baada ya kuondoka utumishi wa chama afya yake ilivyokuja kuimarika! Hata mwenyekiti mwenyewe kachoka mpaka na mwenyewe anasema JK anaonekana kama mdogo wake
 
Back
Top Bottom