Zenda aongoza wasomi vyuo vikuu kumuunga mkono Rais Magufuli

Omary Kipingu

Member
Feb 22, 2016
40
48
*WASOMI WA VYUO NA VYUO VIKUU WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI*
--------------------------------------

Na: Nassir Bakari

Upanga, Dar es Salaam.

*Kaimu Katibu Mkuu wa Idara ya vyuo na vyuo vikuu komrade Daniel Zenda leo amefanya kikao cha kazi na wasomi wa vyuo na vyuo vikuu vilivyopo jijini Dar es Salaam na kwa pamoja wamemuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kazi nzuri anayefanya na yenye tija kwa Taifa*.

Akizungumza wakati wa Kikao hicho komrade Zenda alisema Serikali ya awamu ya tano kwa kipindi cha miaka miwili iliyokaa madarakani imefanya mambo mengi yenye faida kwa watanzania.

" Sisi kama vijana wasomi tunaiunga mkono Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa mambo yote wanayoyafanya, watanzania wenyewe tumekuwa ni mashaidi wazuri wa hayo mambo, tunaomba mungu ampe afya njema ili aendelee kututumikia watanzania" alisema Zenda.

Wakati huo huo Komrade Zenda amesema wasomi hao hawajapendezwa na mambo anayoyasema Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu ya kutaja ukanda katika teuzi za Rais John Pombe Magufuli.

Akizungumza wakati wa Kikao hicho komrade Zenda alisema katika katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 36 kifungu cha pili kinasema Rais atakuwa na madaraka ya kuteua watu wa kushika nafasi za madaraka ya viongozi wanaowajibika kuweka sera za idara za taasisi za Serikali na watendaji wakuu wanaowajibika kusimamia utekelezaji wa sera za idara hizo.

Akiendelea kuzungumza wakati wa Kikao hicho Komrade Zenda aliwataka watanzania wafahamu kuwa Rais katika teuzi zake anazingatia uwezo wa mtu bila kujali ukanda, Chama, dili wala kabila na kuwataka wakazi wa jimbo la Singida Mashariki kutofanya makosa katika uchaguzi wa 2020 kwa kuchagua wana siasa waliokwisha na wakati (expire) kama huyo.

"Rais wetu wakati wa uteuzi wa kujaza nafasi mbalimbali za uongozi huwa anazingatia sana uwezo wa kufanya kazi wa mtu husika bila kujali ukanda, Chama, dini wala kabila la mtu kwa mfano Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Ngwila hakuwa mwana CCM lakini kateuliwa pia Mkuu wa majeshi anawajibika chini ya Wizara ya ulinzi na usalama inayoongozwa na Waziri Mhe Dkt. Hussein Mwinyi anayetokea Zanzibar hiyo ni mifano michache " alisema Zenda na kuendelea :-

"Tumeona Tundu Lisu anazungumza kitu asichokifahama, nawaomba wana Singida Mashariki msifanye makosa ya kumchagua kiongozi kama huyu mwenye lengo la kuligawa Taifa" alisema Komrade Zenda.

Mwisho Komrade Zenda alisema kuwa watanzania tunaamini katika siasa za ujamaa na kujitegemea na kuwataka watanzania kufanya kazi kwa bidii na kutotegemea kwa kiasi kikubwa msaada kutoka nje.
IMG-20170722-WA0250.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho Komrade Zenda alisema kuwa watanzania tunaamini katika siasa za ujamaa na kujitegemea na kuwataka watanzania kufanya kazi kwa bidii na kutotegemea kwa kiasi kikubwa msaada kutoka nje.View attachment 548201

Sent using Jamii Forums mobile app
Mainzi ya ccm
 
Huyu jamaa ni tapeli sana, Shaka ndie shoga ana Mombasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom