Ufafanuzi kuhusu UVCCM Kuombea Mikopo wanafunzi waliokosa Mikopo

The only country in which Politics can work everywhere

From professionalism to https://jamii.app/JFUserGuide things ...

Nyerere pamoja na kuwa alikuwa mtawala wa chama kimoja but lumumba haikufanya upuuzi kama huu..
 
CCM ni chama kinachotia aibu na kinaendesha nchi kishamba sana ! Eti serikali yao inazuia mikopo kwa watoto wa masikini halafu wanakuja kwa mlango wa uani kuleta mgawanyiko !

Kiukweli sijaona chama cha kizamani na kichafu kama hiki kwa sasa duniani .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom