Omary Kipingu
Member
- Feb 22, 2016
- 40
- 48
Kamanda, hivi Red Brigade iliishia wapi?Kumbe CCM ina jeshi lake?
Je UKAWA wataruhisiwa kuwa na shuhuli zao na wnachama wao walioko kwenye vyuo.
HatareHao UVCCM ni genge fulani tu la wahuni.
Nimecheka sana mkuu kwa koment yakondicho wamebakisha baada ya kuua uchumi sasa wanajipanga kukimbilia msituni kama MK23
Kama majambazi aise...
Haya majitu ndiyo yanateka watu nini?Kama majambazi aise...