mbagala ni habari ingine bro... ndio maana wanataka wilaya yao...
Kwa idadi ya watu mbagala iache tu kama ilivyo.
we ukipata muda kapite pite ujionee shazi.
na ukiwa makini isichafuke basi utachafuka wewe
mambo yako hayatoenda Kwa wakati kamwe.
kuchafuka Kwa payslip ndio kusafishika kwako... la msingi ukishajua umeichafua payslip hakikisha unakua makini na we usichafuke
yah ndio shida na ndio maana utajiri wao hauna burudani..... Hali vizuuri Hana gari Kali... watoto hawaendelez Mali.
yaani vurugu tu.
utajiri mzuri ni wa kibiashara halali, siasa, shule...
unaenjoy saana majumba, biashara magari makali
huyu Ottawa ni nyoko ana basi scania km 100 afu kazipaki mwaka wa 8 huu kakodi madereva wazipasha na kuziacha Kila siku sa sijui pesa za kiganga au shida nini...
mamamae... ni one man army... sio kampuni Wala colabo.
mwaka 2016 alikua ni mfanyabiashara pekee nyanda za juu Ambae alikua ana...
Kwa Hali zetu za maisha walau ubora Kwa pesa chache
tv Hisense na Samsung.
fridge homebase , Hisense
AC gree, sanyo, midea, Samsung.
simu Infinix
pasi Phillips.
home theater Sony.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.