Gari yangu Gx110 inakita kishindo wakati wa kutoka parking P kwenda kwenye D na R

CanaanR

Member
Dec 7, 2023
12
10
Habari wataalamu,

Nina tatizo lina nisumbua kwenye gari yangu grande mark2 (gx110) na linaninyima raha kwakweli, wakati wa kutoka P kwenda D na R nasikia mkito unasikika sehemu ya nyuma, nilipeleka kwa fundi akabadili bushing zote za nyuma na CV joint (cross joint) pembeni ya diff lakini tatizo nalisikia bado, na mounting zilichekiwa ziko vizuri shida ni nini naomba msaada wenu note, nikiwa nimeanza mwendo sisikii chochote natembea vizuri tu
 
Nunua gia box wewe
 
Nunua gia box wewe
Ni kitu gani huko ya gear ndani ya gear box hupelekea mshituko huu ? Maana nikiwa kwenye mwendo haishituki inachanganya vizuri tu, samahani mimi ni mtu wa ku reason kabla sijachukua maamuzi, kuna fundi aliniambia itakuwa ni diff je anaweza kuwa sahihi?
 
Mimi nadhani ni mounting Tu azikague na ukanunue afunge ukiwa unaona! Angalia zilizofungwa zina ubora kiasi gani
 
Naweza kukuamini maana fundi alicheki tu kwa macho hakufungua itabidi afungue hasa zile za diff maana mlio unatokea nyuma
 
Sawa itabidi nifungue za diff na gear box
All the best, kuna Jamaa aliuza hio gari kwa BEI ndogo Sana kisa tatizo hilo, Jamaa kaichukua kaenda badilisha hizo bushi gari ikatengemeaa. Kama uko Dar jaribu mafundi tofauti, ukikosa naweza kukuunganisha na MTU
 
Nipo dar, huyo fundi yupo wapi mji huu
 
All the best, kuna Jamaa aliuza hio gari kwa BEI ndogo Sana kisa tatizo hilo, Jamaa kaichukua kaenda badilisha hizo bushi gari ikatengemeaa. Kama uko Dar jaribu mafundi tofauti, ukikosa naweza kukuunganisha na MTU
Nisaidie mawasiliano yake nikae nayo hapa kabisa
 
Habari wataalamu,

Nina tatizo lina nisumbua kwenye gari yangu grande mark2 (gx110) na linaninyima raha kwakweli, wakati wa kutoka P kwenda D na R nasikia mkito unasikika sehemu ya nyuma, nilipeleka kwa fundi akabadili bushing zote za nyuma na CV joint (cross joint) pembeni ya diff lakini tatizo nalisikia bado, na mounting zilichekiwa ziko vizuri shida ni nini naomba msaada wenu note, nikiwa nimeanza mwendo sisikii chochote natembea vizuri tu
Habari Ndugu,

Nenda kwenye garage nzuri, waambie wakague mounting za gear box na engine. Zinapokatika, uki engage gear, inacheza hence hicho kishindo, nadhani pia kuna ka kishindo unakasikia ikihama 1 kwenda 2
 
Back
Top Bottom