Recent content by Ol Ng'oswa

  1. Ol Ng'oswa

    JamiiForums Tanzania Wazazi hawataki nioe binti wa Kihaya

    Bila Weka picha tuone. Bila picha ni porojo
  2. Ol Ng'oswa

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Kamera zangu mbili

    Chukua 200k fasta
  3. Ol Ng'oswa

    JamiiForums Tanzania Niendelee kupangisha? Wakati moyo Unataka niweke biashara yangu!

    Ipo Dodoma sehemu gani?
  4. Ol Ng'oswa

    JamiiForums Tanzania Unatumia unit ngapi za LUKU kwa siku?

    Average unit 1
  5. Ol Ng'oswa

    JamiiForums Tanzania Ninataka kuuza hisa zangu katika Kampuni ya TBL

    Nikajua zipo chache ninunue. Hapo utapiga mkwanja mrefu
  6. Ol Ng'oswa

    JamiiForums Tanzania Ninataka kuuza hisa zangu katika Kampuni ya TBL

    Idadi ya hisa ni ngapi? Na unaziuzaje kwa jumla
  7. Ol Ng'oswa

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Kumekucha
  8. Ol Ng'oswa

    JamiiForums Tanzania Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

    Msemaji yupo sawa. Ila mimi napingana na wewe kwa sababu umesema dona in general kitu ambacho kinaleta wasiwasi kwa yeyote atakayesoma hiyo post . Haujawa specific kwamba dona isipoandaliwa Vizuri au isipotunzwa vizuri inaleta sumukuvu/Aflatoxin hapo ndio nikawa nakurekebisha
  9. Ol Ng'oswa

    JamiiForums Tanzania Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

    Unga wa dona hauna aflatoxin ungekuwa na hicho usemacho ungekuwa umepigwa marufuku kwa matumizi ya binadamu na wanyama. Aflatoxin inatokea pale unga unapopata unyevu wakati wa ku uhifadhi ambapo unazalisha utando.Na Pia kiini cha mbegu ya mahindi hakina aflatoxin kama kingekuwa nacho mahindi...
  10. Ol Ng'oswa

    JamiiForums Tanzania Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

    Acha kupotosha watu. Sio kweli hayo uliyoandika
  11. Ol Ng'oswa

    JamiiForums Tanzania Je, Yu wapi Dkt. Isaac Ndodi?

    Sio kweli mkuu. Unapotosha watu
  12. Ol Ng'oswa

    JamiiForums Tanzania Uzuri na Ubaya wa maisha ya mkoani Iringa

    Naomba nije pm mkuu
  13. Ol Ng'oswa

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

    Mkuu chukua 7
  14. Ol Ng'oswa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kumbe nairobery nako Mafuriko. Halafu hawa kenya wanacheka Tanzania Itabidi mnunue boti kipindi ya mafuriko 😂😂😂
  15. Ol Ng'oswa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wewe mkenya kichwani hamna kitu. Umeulizwa community inayofanya carvings kunyaland unjibu clueless..what a dumb headed person are you.
Back
Top Bottom