Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,104
Ahssante... acha huku nifungashe virago kurejea home!!Karibu sana mkuu, nichk WhatsApp kwenye hiyo no hapo juu thn nitakutumia picha za ndani hadi video ya kila chumba tena kwa uwazi
Ahssante... acha huku nifungashe virago kurejea home!!Karibu sana mkuu, nichk WhatsApp kwenye hiyo no hapo juu thn nitakutumia picha za ndani hadi video ya kila chumba tena kwa uwazi
Mungu azidi kuwalinda Watanzania wenzetu popote pale mlipo kama afanyavyo huku kwetu.Weee ndg. Nitakie kheri bhana!!
Unapaswa kuniombea mema your countryman.. Mwaka huu 2020 tumeshapoteza VIP kibao.. BTW always wish mema..mazuri!!
Pamoja sana mkuu na karibu sana Nyumbn tuijenge Nchi yetuAhssante... acha huku nifungashe virago kurejea home!!
Hahaaa mkuu wasiliana na mimi nikupe nyumba zipo kuanzia Tsh 15m
Hiyo bei ni kwa Dar es salaam?!Hahaaa mkuu wasiliana na mimi nikupe nyumba zipo kuanzia Tsh 15m
Ndio mkuuHiyo bei ni kwa Dar es salaam?!
Hahaa ngoja nikusaidie kwenye upande wa Maombi mkuu ili impendeze Mungu kukutendea mema na kukufanikisha kwani kwakwe Yeye hakuna lisilowezekanaNgoja niendelee kutafita pesa labda naweza kuiwahi kabla haijanunuliwa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikihitaji makazi dar ntakutafuta mkuu! Nikija huko huwa nalazimika kukaa kwenye hotels & lodge...Nikipata kwangu itapendeza zaidi.Ndio mkuu
Allahuma Ameen...Mungu azidi kuwalinda Watanzania wenzetu popote pale mlipo kama afanyavyo huku kwetu.
Mtarudi salama inshalah!!
🙏🙏🙏🙏🙏
Karibu sana ndg yangu, Ukiwa na nyumba Dar ni muhimu sana kwan hili ndio jiji kuu la kibiasharaNikihitaji makazi dar ntakutafuta mkuu! Nikija huko huwa nalazimika kukaa kwenye hotels & lodge...Nikipata kwangu itapendeza zaidi.
AaamenAllahuma Ameen...
Ubarikiwe Amani na salama n furaha.. tutajenga taifa pamoja.
Karibu sana mkuu,mjini pazuri hapaNikihitaji makazi dar ntakutafuta mkuu! Nikija huko huwa nalazimika kukaa kwenye hotels & lodge...Nikipata kwangu itapendeza zaidi.
Hahaaa mkuu wasiliana na mimi nikupe nyumba zipo kuanzia Tsh 15m
Hahaha sawa mkuu nitaanza kuziweka..Asante sana kumkumbusha hiliKwa nini hapa unatuwekea za Ma-bilioni na hizo za 15m unataka tuje PM?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu chukua 7Chuma ya kazi iko kwenye hali nzuri sana na imekaza kila mahali na iko tayari kwa safari mahali popote.132,028km
Bei yake 8.5m
Gari iko DSM
Maongezi zaidi 0756060183
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo mkuu uone gari utaongeza kidogo nami nitashuka kidogo. Chuma imekaza kila mahaliMkuu chukua 7