mi nilimdharau siku nimepand nae ndege anarudi toka mwanza akawa aanaseviwa yeye tu mmh nikauliza jamaa yangu akaniambia yule mfanyakazi wa ndege ndio bibi yake mdogo...alimlewesha wakati tunatua naona wakampa nafasi ya kuanza kushuka kucheki kama yuko fit kutembea am lah hamad alifika salama...
mbona ajawahi kutabiri kumegewa mkewe kale cheupe chake!!!
ama mpaka wamwage radhi watu hadharan ndio atatabiri
tushamchoka na yeye!!!!Asubiri kwenda kusali kwa GWAJIMA UFUFUO NA UZIMA
Kwa hiyo unakubaliana na mzee malecela kuwa mama simba akapimwe akili kule mirembe, right?
JAMANI WASISAHAU NA UTI WA MGONGO...WAKATI MWINGINE UTI WA MGONGO UNAKUFANYA KUCHWA KUWA ABNORMAL....WASIACHE HILO
MSHAURI
Wana ndugu nimesoma gazeti la tanzania daima leo nimeshtuka sana baada ya kupaata mfadhaiko yale yaliokuwa ndani mwake pale mama sophia simba waziri wetu tunaemtegemea kwenye uongozi bora anaposema hakuna asie fisadi kwenye chama cha majambazi...hakika najuta kupigiia kura shishiem...
Wakati zoezi la upunguzwaji wa wafanyakazi ATCL likiendelea habari zilizotufikia hivi punde zinasema wakati majadiliao yakiwa yanafikia mwisho kumezuka mjadala mwingine na huku wengine wakitaka kampuni kufilisiwa
Wakiongea kwa uchungu baadhi ya wafanyakazi wazee kwa vijana waliokuwa na...
Boban kuikosa Yanga, atimkia Sweden Clara Alphonce
KIUNGO wa Simba, Haruna Moshi 'Boban' kwa mara ya kwanza anaikosa mechi ya Yanga baada ya kuondoka jana kwenda Sweden kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa...
m gona be the second to congratulate wanaKaratu-------hii inaonyesha kuwa kweli karatu kuna hisia za Mageuzi ya kweli. Napata hasira sana napoona bado Watanzania wengine hawajaamka na bado wapo kwenye lindi la usingizi mzito. Jamani tuna matatizo gani? angalia sasa Tanzania eti hakuna umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.