Cotwu(t) taifa wataka atcl ifilisiwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cotwu(t) taifa wataka atcl ifilisiwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by OkSIR, Oct 28, 2009.

 1. O

  OkSIR Senior Member

  #1
  Oct 28, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati zoezi la upunguzwaji wa wafanyakazi ATCL likiendelea habari zilizotufikia hivi punde zinasema wakati majadiliao yakiwa yanafikia mwisho kumezuka mjadala mwingine na huku wengine wakitaka kampuni kufilisiwa

  Wakiongea kwa uchungu baadhi ya wafanyakazi wazee kwa vijana waliokuwa na uchungu walisema inashangaza sana kuona viongozi wa cotwu taifa kuanza kuingilia uhuru wa wafanyakazi...kwa nini wasituache tuame wenyewe??ona sasa wanatangaza hadharani bora ife kampuni....
  Bila kujua wafanyakazi wengi wamefanya kazi miezi miaka mingapi ....nanukuu
  ""UNAJUA SISI NI WAFANYAKAZI WENYE AKILI TIMAMU..CHAMA CHA WAFANYAKAZI KILIITISHA MKUTANO KUTAKA MAWAZO YETU...AWAKUTFICHA WALIONGEA WAZI JAMANI TUMEENDA KWA MENEJIMNET.BODI,WAZIRI AMBAE KISHERIA NDIE MWENYE MALI...JAMANI AMESEMA UWEZO HAKUNA KILICHOPO NDICHO HICHO ANAETAKA ACHUKUE ASIETAKA AACHE...."KWANZA HAWA VIONGOZI WETU NAWAPONNGEZA SANA SIJAPATA KUONA COTWU INAYOJALI WAFANYAKAZI..HAWA KILA WATAKACHOJADILI WANAKUJA KWA WAFANYAKAZI JAMANI TUMEFIKIA HAPA MNASEMAJE...WALE WA ZAMANI WALIKUWA WALAJI WATUPU WANALETEWA KABRASHA LA KUSAINI NA BAHASHA JUU WANAKUJA KUTOA TAARIFA JAMANI TUMESAINI....HAWA WAMEJARIBU KADRI WAWEZAVYO..KAMA HALI HALISI INAJULIKANA KWA NINI TUANZE KUKIMBIZANA KWA WAZIRI MKUU..WAZIR MKUU ATATUULIZA MLIENDA KWA WAZIRI MHUSIKA...TUKIJIBU YES ANASEMA YULE NDI ANAEJUA HALI HALISI ATUNA CHA ZAIDI...SASA SISI KAMA WAFANYAKAZI TUNAOMBA MH MHANDISHI UKAWATANGAZIE WATU SISI WAFANYAKAZI TUNAOMBA
  """MWENYEKITI NA KATIBU""WASAINI KABRASHA TUJUE TUNAONDOKAJE NA SI KUENDELEA NA MIKUTANO ISIYO NA MWISHO .....HAKUNA ASIEJUA HII KAMPUNI HASARA TUPU NDG MWANDISHI...SASA KAMA WAMEONA NJIA BORA KUPUNGUZA BORA WATUPUNGUZE WATUP CHETU LAKINI NASHANGAA COTWU TAIFA WAKIONGOZWA NA NAIBU KATIBBU MKUU WAO BW A.SEMVUA WANATAKA KUGEUZA MATAKWA YA WAFANYAKAZI....SISI WATUPE WALICHONACHO TUONDOKE NAMNUKUU MMOJA WA WAFANYAKAZI....

  UNAJUA HUYU HUYU BWANA KIPINDI CHA WAZUNGU WA AFRICAKUSINI ALIKUBALI KUSAINI PUNGUZO LA WAFANYAKAZI BILA HATA KULETA KWA WAFANYAKAZI WATOE MADA ZAO WAJUE JAMANI TUNAPUNGUZWA SAWA VIGEZO NI HIVI NA HIVI...HAYO NDIO MAMBO TULIOYAFURAHIA KWA VIONGOZI WA SASA HIVI...ALINUKULIWA MMOJA WA MADADA WALIOKUWA NA JAZBA KUHUSU UCHELEWESHWAJI WA ZOEZI HILI

  WAKATI NILIPOKUWA NIKIWAHOJI BAADHI YA MASWALI WENGI WALIKUJA NA DATA AMBAZO KWELI NI NGUMU KUKIDHI MAHITAJI YAO...MFANO HALISI NI HUU HAPA CHINI

  KATIKA ZOEZI HILI LINAWAGUSA HADI VIONGOZI MARUBANI AMBAO MISHAHARA YAO NI MILLI3 MPAKA 7..SASA UKIANGALIA RUBANI WA CHINI AMEKAA MIAKA 10...KIONGOZI WA MWISHO ANA MIAKA 7-10

  UKIANGALIA MATAKWA YA WAFANYAKAZI WALIPWE MSHARA WA MIEZI 2 KILA MWAKA

  UTAKUTA

  WALE WA MISHARA YA MILLION 2(2,000,000) WALIO NA MIAKA KUMI WANALIPWA MILLIONI 4 *10 =40,000,000

  WALE WENYE MIAKA 20 WANALIPWA MILLION 80,000 HAPO NI KWA MTU MMOJA WAKO ZAIDI YA 10

  UKIPIGA WALE WA SH MIL 5 UTAKUTA WANALIPWA
  MILLION 10*10 SAWA NA MILLION 100 HAWA NI WA MIAKA KUMI

  UKIPGA WA MIAKA 20

  MILLION 10* 20 =MILLION 200 MTU MMOJA JAMANI HIZI PESA ZITATOKEA WAPI LAZIMA TUWE WA KWELI...KAMPYENYEWE NASIKIA MAFUTA INAKWENDA KWA MADENI...LAZIMA IFIKE SEHEMU MUANGALIE AMA KAMPUNI IBAKI KWA AJILI YA WATOOTO WENU AMA IFE

  NATUMAINI COTWU TAIFA MTAELEWA KWANINI WAFANYAKAZI TUMEAMUA ZOEZI LISANIWE TUJUE MOJA

  NAWATAKIA KILA LA KHERI NA ZOEZI ZIMA MMALIZE SALAMA
   
 2. M

  Masuke JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mwenye kujua Ofisi za COTWU zilipo naomba anijuze au website yao, nimejaribu kugoogle sijapata kitu.
   
 3. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  unaongelea habari ya COTWU ya bongo au nyingine. Si mpaka wawe nayo hiyo website...
   
Loading...