Mshtakiwa akimbia uchi mahakamani

Hatimaye washtakiwa wakamatwa. Baada ya kukimbilia kwenye nyumba ya watu na kujifungia, wenye nyumba wakafunga mlango kwa nje na kutoa taarifa kwa polisi wa defender waliokuwa wanawafuatilia.Polisi wamewachukua na kuwarudisha mahakamani tayari kwa kwenda sero.

Kinyesi? Mh sipati picha ya hao wenye nyumba hapo kwa leo
 
Naasikia alikuwa ana antena ndefu si mchezo wanawake walikuwa awamkimbii kwa kuwa uchi ila antena ilikuwa
ikiwakimbiza si mchezo
 
Back
Top Bottom