Mtoto wa Membe ahamishwa ofisi asipoteze ajira

Naigwe,
Wewe na Congo hamujakosea kabisa. Mimi natokaga huko ndani Usukumani na nimekuja Dalisalamu miaka ya kalibuni. Marafiki zangu huwa wananiambiaga kuwa mimi ni mshamba. Na naamini hawajakosea kwasababu luga ambayo nimeizoweya ni Kisukuma ila ninajitahidi kunyoosha Kiswahili changu ili muweze kunielewa bila matatizo. Wakati ninajifunza, itabidi munivumiliye.

I have really taken your (you and Congo) criticism and words of advice to heart. Even though you have noted that my Kiswahili is less than perfect (which unfortunately is not a new revelation), I believe there is (my linguistic shortcomings notwithstanding) plenty of elbow or wiggle room that allows me to get the thrust of my message across to the intended audience, which to me is the most important take away message from this exchange.

A perfect symbiosis seems to be at work here: I am learning from your advice and criticism, while at the same time you are giving me the opportunity to get my message across. It demonstrates, if nothing else, that in this forum it is possible to exchange views and ideas as brothers and sister not only without insulting each other, but with a sense of enormous fulfillment and for that we all have to be thankful for being Tanzanians.

Ikibidi uwe unachangia tu kwa Kiingereza mkuu ndo utaeleweka ,wewe waonekana ni mzuri sana katika lugha hii ya Malkia,maana Kiswahili inaonekana bado ni tatizo sana kwako.Au uwe unaandika kwa kisukuma tu,tupo mimi,Julius,Masanilo na wengine tutawatafsiria wana JF..Nkwingwa,Kiswahili unachoandika ni kigumu sana kukielewa
 
Kabula ya kuwa waziri, Membe alikuwa jirani yangu pale Mikocheni. Ninawafahamu watoto wake wote. Ana watoto wawilli wakiume. Mmoja anitwa Richard ambaye anasoma university na wa pili anaitwa Denis ambaye anasoma primary. Nakuhakikishia kuwa Membe hana mtoto anayeitwa John.

aisee inaonekana unakaa karibu na rais mtarajiwa;hongera anaweza kukukumbuka siku za uzeeni wako...ndugu tanzania watoto si lazima unaowaza;watooto wa kakake utawaita wajuku??watoto wa dadake utawaita njukuli??ukijibu hilo naweza kukusaidia zaidi
 
Dah hivi hata watoto wa wakulima nao wamehamishwa au kahamishwa mmoja tu?

ni huyo tu;;;wa kapuku wanasubiri kutimuliwa ni pamoja na yule waliemuamisha
 
Katika kuonyesha kweli nchi imekamatwa na mafisadi kila kona
mttoto wa mh membe ambae amekuwa akiripotiwa hapa mara kwa mara kwa kuamishwa na department ili kumnusuru na zoezi lao la kuondoa watu....
ameanza kuleta kashfa za ajabu;

Akiongea na mwandishi wetu ;huku wakilalamika na kufikia kutukuna baadhi ya viongozi wa kampuni kwa mchezo mchafu wa kumlinda kijana huyu JOHN MEMBE walisema nanukuu
"UNAJUA HUYU NDUGU KWANZA ALIINGIZWA NA MH MATTAKA BILA HATA INTERVIEW.BAYA ZAIDI WAKATI NAFASI ZA KAZI ZILIKUWA ZIMETANGAZWA ZIKISUBIRIWA INTERVIEW MTOTO WA MH ALIINGIZWA GAFLA BILA INTERVIEW YOYOTE...walioanza kuuliza na kulalamika waliishia kupewa barua za warning latter...haya mambo mh mwandishi kama hayataachwa ama kuyaweka wazi ipo siku tutakojolewa machoni na hawa watoto

Tazama aliposikia taarifa za yaliotokea zimeanza kuandikwa hadharanai ameanza kuwatanagazia wafanyakazi wenzake hakuna mtu wala CEO mwenye UWEZO wa kumwondoa kazini...mi nakwambia nina asilimia 90 ya kubaki kazini wacha waendelee na makelele yao ...sisi wengine atukuletwa na baba zetu tuna heshima zetu....waache wapige makelele...mi anfikiri huu kijana ajui kujulikana si tatizo la kuendelea kuwepo kazini na anaitaji kueleimishwa nilitamanai kujua elimu yake kwanza alisikika mmoja wao akisema...unaweza pigana kelele na mtu kumbe hata FORM 4 kaletewa majibu ya mtihani chumbani

MH membe tunakupa pole kwa kuwa na watu kama hawa kwenye jamii wanaolitumia jina lako vibaya
 
Fitna ni mbaya... mmeangalia uwezo wake wa kazi na kuona kuwa hafai kufanya kazi anayofanya? Nina wasiwasi watoto wa viongozi watasahindwa kufanya kazi hapa nchini kwetu maana wanapimwa kwa yale ya wazazi wao badala ya kuangaliwa uwezo wao binafsi.Hivi mnataka hawa vijana wahamie somalia au?
 
"UNAJUA HUYU NDUGU KWANZA ALIINGIZWA NA MH MATTAKA BILA HATA INTERVIEW.BAYA ZAIDI WAKATI NAFASI ZA KAZI ZILIKUWA ZIMETANGAZWA ZIKISUBIRIWA INTERVIEW MTOTO WA MH ALIINGIZWA GAFLA BILA INTERVIEW YOYOTE...

Habari zisizo za ukweli utazijua tu!
 
tatizo la huyu bwana nionavyo ni kujigamba kwake kwamba hawezi kuguswa na zoezi hilo la upunguzaji wafanyakazi kwa kuwa anatoka kwenye familia ya mh membe..na sio kama mnavyoona kama wivu ama fitina! Mbona kuna wengi wa wawakubwa hawapigi kelele!
 
Na hapo una maana gani?

hahaaaa mkuu asante kwa angalizo hilo muhimu..mengine haya ni majungu tu.Mimi nafanya kazi na binti wa mzee Ruksa ,she is very bright and capable for her job..please tusiwe tunawahukumu hawa watoto kwa makosa ya wazazi wao jamani
 
Majungu hayajegi wekeni vyeti hewani :rolleyes::rolleyes::rolleyes:

vyeti vya nini na wewe..kwani vyeti ndo vinaonyesha uwezo wa kufanya kazi ..ndo nyie mnalalamika nime graduate degree yangu university kazi sipati..ni kwa ajili ya kuwa na mawazo haya ya ubongo wa panzi
 
mwacheni kijana afanye kazi zake jamani mnamnyima raha, watu wengine majungu tu, mi nilifikiri mwinyi kwa kuwa hafanyi kazi na anawatumikisha wenzake, hata kichwa cha habari badilisha maana hakiendani kabisa na mada
 
Fitna ni mbaya... mmeangalia uwezo wake wa kazi na kuona kuwa hafai kufanya kazi anayofanya? Nina wasiwasi watoto wa viongozi watasahindwa kufanya kazi hapa nchini kwetu maana wanapimwa kwa yale ya wazazi wao badala ya kuangaliwa uwezo wao binafsi.Hivi mnataka hawa vijana wahamie somalia au?

Hapo tatizo ni utaratibu wa kumwingiza kazini, angekuwa mtoto wa maskini angeingia bila interview???

Mkuu acha maneno sisi tuliojeruhiwa na haya madudu ya TZ tunajua. Nenda pale idara ya ndege za serikali utamkuta mtoto wa maokola majogo....uliza anafanya nini na ameajiriwa kama Aircraft Engineer, ni upuuzi mtupu.
 
hahaaaa mkuu asante kwa angalizo hilo muhimu..mengine haya ni majungu tu.Mimi nafanya kazi na binti wa mzee Ruksa ,she is very bright and capable for her job..please tusiwe tunawahukumu hawa watoto kwa makosa ya wazazi wao jamani

Siyo wote ni wabovu lakini 90% yao ni bomu na wanajigamba sana kitu ambacho nchi za wenzetu watoto wa viongozi hawajigambi na wanaheshimu sana jamii.
 
ushahidi wa yote yanayozungumzwa ni performance ya mashirika ya umma. Kama hawa vihiyo watoto wa viongozi wangekuwa bright na wabunifu mashirika mengi yasinge kufa, lakini undugu na ukihiyo ndo umeyafikisha hapo.
 
Idd Simba hakukosea kwa kusema asilimia kubwa ya waTZ akili zimedumaa. Hata uwezo wa kupangua hoja hatuna. Cha msingi hapo si uwezo wa walalamikiwa bali ni mchakato mzima wa ajira za wahusika. Kama taratibu za ajira zimezingatiwa hakuna anayelalamika. Kinachoumiza ni watu kubebwa kwa kuwa wana wa kuwabeba bila kuzingatia kanuni na taratibu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom