Hongera mh Anne Kilango Malecela

OkSIR

Senior Member
Jun 3, 2009
108
1
Mnamo majira ya saa tisa kamili pale kibaha tar 31 oct
MAMA YETU KIPENZI MH SANA MBUNGE ANNE MALECELA.K ANATARAJIA KUPATA DEGREE YAKE YA BCOM.....UKIWA KAMA MCHUKIA UFISADI
MUADIILIFU WA UMMA...MPENDA WAPIGANAJI ,

MCHUKIA DEGREE FEKI DUNIANI

HATUNA BUDI KUPMONGEZA MAMA YETU KWA HATUA HII ALIOFANIKIWA KATIKA MAISHA YAKE,,NI WENGI SANA WAMEITWA MA DK..WANA DEGREE BAYA ZAIDI WAMEPEWA MAMLAKA MAKUBWA HADFI KUFIKA UKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM.....LAKINI LEO HII MAMA YETU UMEONYESHA SHULE AINA UKUBWA....TUKIWA KAMA VIJANA TUNASHUKURU KWA MAMBO YAFUATAYO

1) KWANZA KWA KUITENDEA HAKI ELIMU YA TANZANIA

2) KWA KULITENDEA HAKI BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA KUWA MBUNGE MMOJA WAPO MWENYE DEGREE HALALI

3)TUNASHUKURU SISI KAMA WAPIGANAJI ,WACHUKIA MAFISADI KWA KUTUTENDEA HAKI KUWAONYESHA KWAMBA ELIMU SI KWA NYIE MNAOCHOTA PESA ZA WALIPA KODI HATA SIE TUNAOPINGA UFISADI ELIMU NDIO ILIOTULETA HAPA TULIPO

4)TUNASHUKURU KWA KUITENDEA HAKI FAMILIA YAKO MAMA...HIVI SASA BUNGENI FAMILIA NYINGI AMA WABNGE WENGI HAWANA AMANI KABISA KWA KUSHTUKIWA NA VYETI FEKI...NA SISI KAMA WAPPIGANAJI TUNAKUPONGEZA KWA KUTOINGIA MKUMBO WA KUCCHAFUA JINA LA FAMILIA YAKO........MAFISADI PIGA MAKOFI TAFADHALI........

5)HII IWE FUNDISHO KWA WALE MA VIHIYO WALIOKIMBILIA VYETI FEKI VYA KUNUNUA....

MWISHO TUNAKUOMBEA MUNGU ELIMU ULIOIPATA IWE FUNDISHO NA KIADHIBIO KWA WALE MAFISADI WOTE WATAKAOPITA ANGA ZAKO KAMA VIPI LAZIMA UFIE NAO KIDONDANI ........
 
Tukipongeza kila mwenye bachelor patakuwa hapatoshi hapa.....! Hongera Iron lady Anne Kilango wa Malecela
 
Mnamo majira ya saa tisa kamili pale kibaha tar 31 oct
MAMA YETU KIPENZI MH SANA MBUNGE ANNE MALECELA.K ANATARAJIA KUPATA DEGREE YAKE YA BCOM.....UKIWA KAMA MCHUKIA UFISADI
MUADIILIFU WA UMMA...MPENDA WAPIGANAJI
,
Chuo gani?
 
THE DEGREE OF BACHELOR OF COMMERCE (B.COM)
Na. JINA Reg. No. JINSIA MKOA
1 Agness Dominick Kimoi 22584/T.06 KE D'SALAAM
2 Aisha Maggid Nyasama 18882/T.05 KE D'SALAAM
3 Amos Eshiwakwe 11020/T.03 ME D'SALAAM
15
4 Amos Felex Bwahama 05031/T.99 ME D'SALAAM
5 Anaclet Moris 09048/T.02 ME D'SALAAM
6 Andrew R. Dominic 03043/T.97 ME
7 Anna, Augustino Msoffe 19176/T.06 KE D'SALAAM
8 Anne Kilango Malecela 08032/T.01 KE D'SALAAM
9 Arnold August Ndesangia 20257/T.06 ME D'SALAAM
10 Bakari Nampenya 23055/T.06 ME D'SALAAM
11 Bernard Ndewingia 20417/T.06 ME D'SALAAM
12 Bertha Mtuya Kabalika 18033/T.05 KE D'SALAAM
13 Caroline Ndossi 23070/T.06 KE D'SALAAM
14 Cuthbert Mhagama 11112/T.03 ME D'SALAAM
15 Danford Steward Ziguye 26148/T.07 ME TANGAga
16 Daniel Sent 20327/T.06 ME D'SALAAM
17 Denis Mulokozi Rutahilwa 20308/T.06 ME D'SALAAM
18 Dionis Martin Salekio 23190/T.06 ME ARUSHA
19 Dionisius Rwejuna 15429/T.05 ME D'SALAAM
20 Dorah Ngassa 20267/T.06 KE ARUSHA
21 Edson Michael Chongollo 10206/T.03 ME ARUSHA
22 Edson Robert stambul Mdakilwa 09513/T.02 ME D'SALAAM
23 Edward Dogani Nkwabi 23097/T.06 ME D'SALAAM
24 Edward Lubega 20452/T.06 ME D'SALAAM
25 Eliakimu Mniko 20190/T.06 ME D'SALAAM
26 Estomiah Ndetalio Urassa 20527/T.06 ME ARUSHA
27 Felis Bernard 20427/T.06 ME MANYARA
28 Festo J.M. Saroni 17274/T.05 ME SINGIDA
29 Flanswazi Alphonce Msiga 23869/T.07 KE MANYARA
30 Flora Hans Korosso 22620/T.06 KE D'SALAAM
31 Frida Dunford Mlumba 18890/T.05 KE D'SALAAM
32 George Michael 11113/T.03 ME D'SALAAM
33 George Mpejiwa 20198/T.06 ME D'SALAAM
34 Gibson Tamson Haonga 20428/T.06 ME D'SALAAM
35 Gloria Henry 11028/T.03 KE D'SALAAM
36 Godbless Adonia Kapaya 18070/T.05 KE D'SALAAM
37 Godfrey Hussein Kipingu 22594/T.06 ME
38 Goodluck Mtega 26362/T.07 ME
39 Habiba Uweso 20011/T.06 KE
40 Happiness Raphael Mwakabonga 22988/T.06 KE
41 Herodia Maurice Kambaga 22519/T.06 ME
42 Hosea Maghimbi 17188/T.05 ME
43 Hosiana Ndetaramo 17982/T.05 ME
44 Hunnington Julius Missango 12071/T.03 ME
45 Ibrahim Makumba 26329/T.07 ME
46 Ibrahim Mkomwa Bakari 22304/T.06 ME
47 Ignas Remigius Laurian 10124/T.02 ME
48 James Malley 20142/T.06 ME
49 Jordan Mchami 20471/T.06 ME
50 Joseph Mulemwa Bwaira 07160/T.01 ME
51 Joyce Massangu 20465/T.06 KE
52 Kandida Komba 22617/T.06 KE
 
aah, hizi za out cooursework wanafanyiwa na watu, anyway congarats
 
is the damn thread that much political?

ACHENI UNAFIKI..TUMWASHAMBULIA WABUNGE VIHIYO HAPA HAKUNA NENO KAMA HILO ULILOANDIKA..LEOO HII KUMPONGEZA MTU TAABU KWELI KWELI

BASI
HONGERA
MAHANGA

LUKUVI

NAGU M

...UNGETUSAIDIA ZAIDI KUTULETEA MATOKEO YA HAO HAPO JUU WALIPOCHUKULIA DK ZAO KAMA NILIVYOKUPA YA HUYU ::"IRON LADY""

HAPO TUTAHESHIMIANA ZAIDI
 
aah, hizi za out cooursework wanafanyiwa na watu, anyway congarats

ZOTE DEGREE CAMEL
 
masanilo ugomvi huo

sisi bado ajarekebisha barabara ..asije tusahau kabisa nasikia ndio anashikilia kapu la ha-zinaa

Hapana mpwa.....tumpongeze kwa kiasi isije onekana amefanya kitu cha ajabu sana hapo OUT! Mwanzo Mzuri kwa huyu mama aliyekuwa form four tena failure!
 
Hiyo degree ya out ni ya chupi tu. wengi wanaandikiwa. Angesoma saa ngapi wakati mda wake anatumia kutafuta jina na kelele za ufisadi
 
Kumbe ana akili nyingi za kuzaliwa! Hakuwa hata na kadigrii kamoja au anabadili fani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom