Recent content by OgwaluMapesa

  1. O

    JamiiForums Tanzania The Guardian yapunguza wafanyakazi 120

    Kampuni ya Magazeti ya The Guardian wachapishaji wa Gazeti la Nipashe, The Guardian , The Guardian on Sunday na lete Rahaa imepunguza wafanyakazi 120 kutoka Idara ya Editorial , Matangazo na fedha pasipowalipa stahiki ( hawajawasilisha makato ya NSSF toka Mwaka January 2014) zao pamoja na...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ubunge Afrika mashariki yakithiri kwa Rushwa

    Uchaguzi wa ubunge wa Afrika mashariki kupitia CCM umegubikwa kwa Rushwa .. Wagombea utoa Rushwa kati ya Tshs 2 Milion hadi 5 Milion. Wagombea wanaongoza kwa kutoa takrima ni Ndg Adam Kimbisa na Ndg Kachwamba, Ndg kimbisa pia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma na Mjumbe wa kamati kuu ccm ...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya kula nayo bei juu

    Utafiti uliofanyika katika baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam umeonyesha kuwa lita moja ya kiungo hicho cha chakula inauzwa kati ya Sh2,800 hadi Sh3,000 kutoka Sh2,500 ya awali. Dar es Salaam. Wakati Watanzania wakiendelea kuumia na bei ya juu ya sukari, sasa watalazimika kutoboa zaidi...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Samwel Sitta: Magufuli anashauriwa vibaya!

    Katika ile dhana ya kusoma namba, ni wazi imeendelea kuwatafuna wanachama wa chama changu. Katika gazeti la leo, aliyekuwa spika wa bunge la tisa ametoa kali na kusema Rais Magufuli anashauriwa vibaya. Hasa baada ya kutumbua jipu la Reli. Samwel Sita, kasema Magufuli kachukua hatua hiyo baada...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Sio kweli........ Dr. Ndalichako ni mtu sahihi sana sana
  6. O

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Sio kweli. Anasimamia haki..... Infact, wizara ya elimu imepata mtu sahihi sana
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mustakabali wa waadventista Wasabato siku ya Usafi Jumamosi ya mwisho wa Mwezi

    Kwenda kanisani ni LAZIMA...... Ya kaisari tutampa kaisari na ya Mungu tutampa Mungu.... Kwa siku ya jumamosi, serikali itusamee ni siku yetu takatifu...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Kuna mdau alikuja na uzi wake hapa..... Duuh safi sana kwa Magufuli..... Dr. Ndalichako anafaa sana pale
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kikwete yuko New York Marekani

    Duuh hata arobaini ya dada haijaisha
  10. O

    JamiiForums Tanzania NHC nyumba kama darasa

    Nehemia Mchechu ni jipu kubwa lililoiva. Nashangaa kwa nini ajatumbuliwa!
  11. O

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere: Serikali ya kifisadi haikusanyi kodi

    Kabisa. Miaka kumi nchi imekuwa haina Rais
  12. O

    JamiiForums Tanzania 50.000/= kuhudhuria maonyesho ya kwaya kumsifu Mungu ni dhuluma

    Msama ni mwizi wa karne..... Anaishi hapa mjini kwa matamasha ya injili huku akiwaibia wananchi...... Jamaa ni mwizi vibaya sana
  13. O

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Hata kama una vibali vya ujenzi, bomoa bomoa ni lazima

    Baada ya kufunikwa na wakina Kigwangala, naona huyu naye anatafuta nitoke vipi
  14. O

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya RAHCO

    Masaji.......
  15. O

    JamiiForums Tanzania Picha: Donald Trump aliigiza filamu ya Home Alone

    Haswaaaaaa.....
Back
Top Bottom