OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
Uchaguzi wa ubunge wa Afrika mashariki kupitia CCM umegubikwa kwa Rushwa .. Wagombea utoa Rushwa kati ya Tshs 2 Milion hadi 5 Milion.
Wagombea wanaongoza kwa kutoa takrima ni Ndg Adam Kimbisa na Ndg Kachwamba, Ndg kimbisa pia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma na Mjumbe wa kamati kuu ccm .
Kimbisa anamtumia Mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa Jerry Slaa kutoa Rushwa kwa niaba yake lengo likiwa ni kukwepa TAKUKURU na idara ya Usalama wa Taifa wasimkamate, Kimbisa amefungua center ( Vituo ) vya kugawa Rushwa / takrima wilaya ya Kongwa na Dodoma mjini vikiwa chini ya Mjumbe wa kamati kuu ya ccm Ndg Jerry Slaa ,Jana usiku wabunge wa ccm kutoka kanda ya ziwa na Pemba walihitwa wilaya ya Kongwa na kila mmoja kapewa takrima ya Tshs 2 Milion kuhakikisha kimbisa anashinda ubunge wa Afrika mashariki.
Mmoja wa wabunge aliyeudhuria amedai amesikitishwa sana na kitendo cha Jery Slaa kumpatia Tshs 2 Milion Ili ampigie kura Kimbisa wakati akijua ni ukiukwaji wa kanuni za CCM na Akashangaa wanajiaminije kuomba kura wakati Majina hayajarudi? Na Leo usiku wabunge kutoka Zanzibar ( Unguja) na Mikoa ya kusini ( Mtwara na Lindi) wameitwa Mpwapwa.
Ndg kachwamba yeye amefungua center ( Kituo ) cha kufanyia operation wilaya ya Bahi na mpwapwa yeye anamtumia Mbunge wa Bukoba vijijini ambaye pia ni Katibu wa wabunge wa CCM kutoa Rushwa ya Tshs 2.5 kwa kila Mbunge .
Utaratibu huu wa kutoa Rushwa unawaweka wagombea wenye sifa katika wakati mgumu.
Watanzania wengi wanauangalia huu uchaguzi kwa umakini wa hali ya juhuu kwa maana ni kipimo kwa utawala wa Raid John Magufuli unaweza Kuumaliza mfupa wa Rushwa katika chaguzi za ndani ya CCM uliowashinda Watangulizi wake