Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,277
- 5,838
Habari wanajamvi,
Mimi ni mdau mkubwa msomaji wa nyuzi mbalimbali na comment za wanajamii forum,
Leo hii nimetamani kushare kitu kilicho ni gusa nakunishtua juu ya speed nzuri ya mheshimiwa rais na watu wake, ambayo tangu mwanzo niliitia shaka juu ya sisi wenye imani ya kuzisgika amri za Mungu kamilifu ikiwemo ya kuabudu siku ya sabato(juma mosi)
Leo hofu yangu imeanza kudhibitika na hili agizo la usafi nchi nzima siku ya jumamosi ya kila mwisho wa mwezi na atakae kaidi kuchukuliwa sheria,
Je ni vipi kuhusu wale viongozi wa serikalini ambao ni wasabato wameshindwa kuitetea siku hii kama si hivo je tunawezaje kunshauri rais angalie upya ama aitengue siku hio na aifanye juma pili?
Nakama itakua hivo na huu ni mwanzo ni vipi itakua hatima ya wasabato hapa nchini Tanzania?