NHC nyumba kama darasa

NHC nyumba kama darasa

Hivi umewahi kufatilia gharama za ujenzi wa hizo nyumba mpaka useme ni low budget houses? Au unasikia maneno na Mchechu tu?, tofali zuri na gumu zi sh 1500, wao wananunua tofali moja elfu nne mpaka tano,

Umesoma post yangu nyingine boss nimesema" low budget houses" according to their definition
 
Kuwa na sura moja sawa lakini si vibaya estate moja ikatofautiana na nyingine kimuundo...sio lazima zote nchi nzima ziwe kama madarasa tuu...au ndio upeo wa ma engineer wao ndio umeishia hapo?nauliza tuu lakini..
 
Umelenga penyewe mto a Mada. Hao wahandisi wao utadhani hawajawahi japo kusafiri mpaka Nairobi tu!! Besides siku hizi ramani zipo nyingi sana na zinapatikana kirahisi!

Kuna choice kubwa sana siku hizi kama kweli umedhamiria kujenga low cost houses tena zinakuwa na mwonekano unavutia!
 
@NHC Njooni mjibu. Nimewahi kuwashauri lakini hawashauriki hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom