OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
Kampuni ya Magazeti ya The Guardian wachapishaji wa Gazeti la Nipashe, The Guardian , The Guardian on Sunday na lete Rahaa imepunguza wafanyakazi 120 kutoka Idara ya Editorial , Matangazo na fedha pasipowalipa stahiki ( hawajawasilisha makato ya NSSF toka Mwaka January 2014) zao pamoja na mishaara ya mwezi February na March 2017
Miongoni mwa wahariri waliopunguzwa ni Lameck Mfalila, Rodger Luhago na wahandishi 64
Idara ya matangazo wameondolewa sales manager Arnord Mwanga n customer service manager Jovita David
Idara ya makusanyo ameondolewa Mkuu wa Idara Joseph Chundu
Idara ya matangazo ameondolewa Bernard Mukasa ..
Zoezi Hili limehendeshwa pasipofuata sheria za kazi na tayari wafanyakazi 45 waliopunguzwa awamu ya kwanza wamefungua kesi Mahakamani inayohusu Kutolipwa Mishaara yao ya mwezi February na March pamoja na The Guardian kutowasilisha makato ya NSSF toka 2014.
Zoezi la kuwasimamisha wafanyakazi pasipofuata sheria za kazi imesimamiwa na wahindi Srnivas ambaye ni manager Fedha ITV na Swami ambaye ni manager Fedha wa EATV wakisaidiwa na makuwadi wao Semvua na mama luhanga