Dah, Huyu Jamaa Huyu!!!! Au anatumwa Na muheshimiwa rais??? Au ni mambo yake ya kibiashara??
anatumia pexa zenu au zake!,kwel roho zitawatoka!
Huyu ni mmarekani mwenye asili ya Tanzania,kwa hiyo kaludi kwao huku alikuja kwenye msiba.Duuh hata arobaini ya dada haijaisha