Recent content by Ogtza

  1. Ogtza

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo top ten taasisi private sector zinazolipa vizuri

    Apo kwenye alliance one umetulowesha kama hamonize na anjela kuna madudu mule asikuambie mtu wanao enjoy ni kuanzia ma meneja kwenda juuu.
  2. Ogtza

    JamiiForums Tanzania Usaili wa kazi za Ubalozi wa Marekani hukuchua muda gani kuitwa?

    Kuna colleague wangu aliombaga finance mwaka na ushee umepita walifanya na usaili wakamuita mwezi may now anakula maisha
  3. Ogtza

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates kuhusu mikopo ya Mabenki

    Tusaidie ulifanya biashara gani??.
  4. Ogtza

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Muitafute my holow love ts [emoji95][emoji95][emoji91][emoji91][emoji91] Sent from my SM-J415F using JamiiForums mobile app
  5. Ogtza

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Ile inaitwa VAGABOND khaaa ni nzuriiii ilaaa sasaaa inavyo ishaa ndo vitukooo inakata uku inadai mwendelezo
  6. Ogtza

    JamiiForums Tanzania AIM Global, Qnet, Forever Living, One Coin, GNLD na wengine mbadili mbinu za utapeli, hii ya utajiri ndani ya siku 2 imepitwa na wakati

    Anae jua kuusu Aim global atujuze kiundani , maana si kusumbuliwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Ogtza

    JamiiForums Tanzania Kwani BBC swahili hawaruhusiwi kurusha takwimu za corona Uingereza?

    Mbona wana tangaza visa vya nchi nyinginezo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Ogtza

    JamiiForums Tanzania Alianza Museveni kutunanga sasa Cyrill Ramaphosa

    Mawazo yako tu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ogtza

    JamiiForums Tanzania Quika security service

    Almost local company zote zinazo deal na security ndio ujinga wake huo, nliwahi kua manager kampuni moja inaitwa nyangumi mhhh nlikua nagombana kila siku na mkurugenzi , yeye anaangalia maslahi yake tu watu wanafamilia na hajali mshahara anawap nusu nusu na muhasibu apigi yowe.
  10. Ogtza

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu kutorusha Habari Azam, Kupotea Local channels

    Meseji imefika madaha mengiiii
  11. Ogtza

    JamiiForums Tanzania Hivi channel ten nayo itajigamba ni TV?

    Bado na abood tvnao waanayumba kweli
  12. Ogtza

    JamiiForums Tanzania Toka 2016 siangalii taarifa ya habari wala kusoma gazeti.

    Hahahah.... Ilo nalo neno
  13. Ogtza

    JamiiForums Tanzania TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

    Pumzika kwa amani
  14. Ogtza

    JamiiForums Tanzania Kozi ya uandishi wa habari nayo vipi?

    Wakuu naombeni kuuliza maana sielewi naonaa watu wanatafuta kazi kibao kwa vitengo tofautii ila cha ajabu uandishi wa habari nimeona Thread moja tu..... Sasa naomba kujuzwa uandishi wa habari hauna market ama vipiii??? Na ni level ipi ya elimu yuko in fire [emoji91] kupata ajira ya uhakika...
  15. Ogtza

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    vip00
Back
Top Bottom