Kozi ya uandishi wa habari nayo vipi?

Ogtza

Member
Nov 2, 2016
52
22
Wakuu naombeni kuuliza maana sielewi naonaa watu wanatafuta kazi kibao kwa vitengo tofautii ila cha ajabu uandishi wa habari nimeona Thread moja tu.....

Sasa naomba kujuzwa uandishi wa habari hauna market ama vipiii???

Na ni level ipi ya elimu yuko in fire kupata ajira ya uhakika kwa fani hiyo ya uandishi????
 
Back
Top Bottom