Hivi channel ten nayo itajigamba ni TV?

Hivi channel ten nayo itajigamba ni TV?

Yaani kiukweli hii channel ni sifuri

Ubora wa picha unasikitisha sana haina hata hamu kuitazama

Mnaboa kweli[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Ule wekundu wekundu wa picha yaani hata akitangaza mdada mweupe utadhani kaungua kwa mkorogo sio kwa wekunde ule wa picha jamani[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Hivi hawa boss wao ni nani?na anaridhika tu channel kuwa ubora mbovu hivi??

Hata 3gp ina afadhali kwakweli hii ni too much nadhan itakua 2gp maana sio kwa picha zile jomoni

Mpaka najiuliza kama nayo ni tv jamani

Halafu habari zenu za kusifiya sifiya muache nendeni azam au itv mkajifunze utangazaji huko.
Cha ajabu ni miongoni mwa tv za zamani lakini haina mabadiriko kabisa wao wako pale pale tu!!
 
Yaani kiukweli hii channel ni sifuri

Ubora wa picha unasikitisha sana haina hata hamu kuitazama

Mnaboa kweli[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Ule wekundu wekundu wa picha yaani hata akitangaza mdada mweupe utadhani kaungua kwa mkorogo sio kwa wekunde ule wa picha jamani[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Hivi hawa boss wao ni nani?na anaridhika tu channel kuwa ubora mbovu hivi??

Hata 3gp ina afadhali kwakweli hii ni too much nadhan itakua 2gp maana sio kwa picha zile jomoni

Mpaka najiuliza kama nayo ni tv jamani

Halafu habari zenu za kusifiya sifiya muache nendeni azam au itv mkajifunze utangazaji huko.
Mara 50 chanel ten ni bora kuliko kwenye kodi zetu.
 
Mleta mada akiitwa pung*a wala hamaindi wala nini??..this is disguisting
 
Yaani kiukweli hii channel ni sifuri

Ubora wa picha unasikitisha sana haina hata hamu kuitazama

Mnaboa kweli[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Ule wekundu wekundu wa picha yaani hata akitangaza mdada mweupe utadhani kaungua kwa mkorogo sio kwa wekunde ule wa picha jamani[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Hivi hawa boss wao ni nani?na anaridhika tu channel kuwa ubora mbovu hivi??

Hata 3gp ina afadhali kwakweli hii ni too much nadhan itakua 2gp maana sio kwa picha zile jomoni

Mpaka najiuliza kama nayo ni tv jamani

Halafu habari zenu za kusifiya sifiya muache nendeni azam au itv mkajifunze utangazaji huko.

Sasa ni nini radio?
 
KATIKA VITUO VYA TV VYA HOVYO NA WASIOTAKA KUJIBORESHA NI CHANNEL 10!!!!!!!
KWANI MMILIKI NANI?
AU WAKO KIBOSHENI TU WANA KAZI ZAO?
 
Yaani hata mimi huwa nashangaa hawajshukii??
 
Back
Top Bottom