Ndugu zangu wana Jf,,,hasa wale wenzngu walio na nia ya kuingia kwnye makampuni ya ulinzi
Kuna hii kampuni inaitwa quika security,, makao makuu yake yapo ilala bungoni,,hii kampuni sio ya kuingia kabisa,,kampuni moja mbovu sana kuanzia menejiment ya askari hadi kazini,,
.mshahara una variation kila unapoamishwa lindo,, kuna 120k ,,130k,,150
.kushuka kwa mshahara ni jambo la kawaida bila askari kuhusishwa directly
.hakuna mkataba wa kazi,hivyo haki zako zote hupewi ng'o
.hakuna cha OT,PH, mfuko wowote wa jamii,,PAYE wala ongezeko lolote lile nje ya mshahara
.halijali askari wake ikiwa ni pamoja na kucheleweshwa kwa mshahara, makato yasiyo ya lazima kama vile ugonjwa au kufiwa
.Hakuna off day ata Siku moja mpka unaacha kazi,
N.B nawashauri wale wenye nia ya kuingia hizi kampuni,, epuka kuingia quika security,, utakuja kuumia kazi ngumu pesa kidogo,