Waige KlM elfu saba unakula kiepe mbuzi na unakaa muda mrefu hadi unaridhika mteja na unaendelea na safari
Hili swala la kulia ndani ya basi wengine sio wazoefu kabisa,weka kiepe nyama choma ya kushiba 7000,kiepe nyama choma ya mbuzi 8000 na abiria wawape dk 30
Wameru silaa yao ni mawe mi lisoma makumira sec kuna kamto tulikuwa tunaenda kuoga gafla unashangaa mawe hujui hata yametokea wapi,walikuwa hawataki tuoge kwenye ule mto
Kama mtu mnafahamiana haina shida kabisa ila utabidi baada ya miezi kadhaa muuende wote kubadilisha usajili ili uwe mmiliki halali
Itabidi uwe na vitu vifuatavo ili kumiliki kihalali
1)leseni ya biashara
2)TIn no
3)nida namba au kitambulisho
Nb:ili kubadili umiliki huo inabidi muende kwa...
Jina:obby
Eneo:saku
Wilaya:temeke
Tatizo:umeme huku kila siku unakatika kama kuna mgao mnasema watu tuwe tunajiandaa,unakatika masaa 2 hadi masaa 3 mtakuja kutuunguzia vitu vyetu,halafu kipindi cha marehemu ulikuwa umeme wa uhakika shida ninii wakuu
Naomba na mimi nisaidie kwenye hiliii
1/kuna siku nimekaa baa moja pale zakheem mbele yangu amekaa jamaa moja mimii nikawa naona ndani ya shati kuna vitu vinamtembea kama nyoka,nikamkazia macho akasimama akenda chooni nikamuuliza jirani yake akasema haoni kurudi akaniita nikasimama nikaondoka...
Huyu jamaa mshamba kinoma hapendi kuuambiwa ukweli,ukimwambia ukweli ana kublock anajiona mungu mtu mwili mkubwa akili kisoda
Sa hivii kaacha kumpamba field marshal wake makonda hana tofauti na chawa wengine mda si mrefu ataanza kumsifia vunjabei kama wakina aristote ili aishii
Dodoma -mbeya kuna basi lilikuwa linaitwa URAFIKI huyu mh simbachawene alikuwa kondakta wa hilo basi balaa lake sio poa nakumbuka lilituacha comfort tukapanda matema mabichi ngoma imefukuzwa tumeikuta mbeya imetulia [emoji1430]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.