Lemutuz kavuta jiko, mtoto mkali yaani Kim Kardashian huyu hapa kabisa

Huyu jamaa mshamba kinoma hapendi kuuambiwa ukweli,ukimwambia ukweli ana kublock anajiona mungu mtu mwili mkubwa akili kisoda
Sa hivii kaacha kumpamba field marshal wake makonda hana tofauti na chawa wengine mda si mrefu ataanza kumsifia vunjabei kama wakina aristote ili aishii
 
Kuteleza sio kuanguka, baada ya Lemutuz mara kadhaa kula hela za michango ya harusi yake kwa bahati mbaya hatimaye gwiji la mitandao ya kijamii ukanda huu wa maziwa makuu limefanikiwa kuvuta jiko, mtoto guu guu, super mtindi yaani Kardashian huyu hapa.
Ndoa hiyo iliyofanyika downtown Bongo ilikuwa ya watu wachache sana ambayo ilifuatiwa na sherehe fupi , baadae maharusi waliingia ndani ya Noah ya Lemutuz kuelekea hotelini kwenye fungate.
Bibi harusi inatajwa pamoja na mambo mengine inawezekana akachukua nafasi ya juu ya utendaji katika moja ya makampuni makubwa yanayomilikiwa na gwiji hilo, huku wadadisi wa mambo wakidai huenda akawa mkurugenzi mtendaji wa chombo kikubwa cha habari hapa nchini yaani BLOGU YA WANANCHI.
View attachment 1771598View attachment 1771599

Pita hapa chini kutoa neno la pongezi kwa maharusi hawa.
Story za huyu jamaa zinanifurahisha kinoma baada ya kufunga ndoa akaenda direct kulala asije akakutana na the mburulas
 
Kuteleza sio kuanguka, baada ya Lemutuz mara kadhaa kula hela za michango ya harusi yake kwa bahati mbaya hatimaye gwiji la mitandao ya kijamii ukanda huu wa maziwa makuu limefanikiwa kuvuta jiko, mtoto guu guu, super mtindi yaani Kardashian huyu hapa.
Ndoa hiyo iliyofanyika downtown Bongo ilikuwa ya watu wachache sana ambayo ilifuatiwa na sherehe fupi , baadae maharusi waliingia ndani ya Noah ya Lemutuz kuelekea hotelini kwenye fungate.
Bibi harusi inatajwa pamoja na mambo mengine inawezekana akachukua nafasi ya juu ya utendaji katika moja ya makampuni makubwa yanayomilikiwa na gwiji hilo, huku wadadisi wa mambo wakidai huenda akawa mkurugenzi mtendaji wa chombo kikubwa cha habari hapa nchini yaani BLOGU YA WANANCHI.
View attachment 1771598View attachment 1771599

Pita hapa chini kutoa neno la pongezi kwa maharusi hawa.
Tangu augue kaisha sana sijui nini kinamsumbua walah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio....lakini ingetegemewa utani kama huo utoke kwa mwanamke kwenda kwa mwanaume....na sio kinyume chake......ikiwa kinyume chake inazua maswali mengi....
Vyovyote vile, dhana ya binadam ni kukufanya ukasirike, akiona akikukasrishi anaachana nayo
 
Kuteleza sio kuanguka, baada ya Lemutuz mara kadhaa kula hela za michango ya harusi yake kwa bahati mbaya hatimaye gwiji la mitandao ya kijamii ukanda huu wa maziwa makuu limefanikiwa kuvuta jiko, mtoto guu guu, super mtindi yaani Kardashian huyu hapa.
Ndoa hiyo iliyofanyika downtown Bongo ilikuwa ya watu wachache sana ambayo ilifuatiwa na sherehe fupi , baadae maharusi waliingia ndani ya Noah ya Lemutuz kuelekea hotelini kwenye fungate.
Bibi harusi inatajwa pamoja na mambo mengine inawezekana akachukua nafasi ya juu ya utendaji katika moja ya makampuni makubwa yanayomilikiwa na gwiji hilo, huku wadadisi wa mambo wakidai huenda akawa mkurugenzi mtendaji wa chombo kikubwa cha habari hapa nchini yaani BLOGU YA WANANCHI.
View attachment 1771598View attachment 1771599

Pita hapa chini kutoa neno la pongezi kwa maharusi hawa.
Ukipenda chongo huona kengeza... Harmo aluchora mpaka tatoo ya K.. Alipopigwa chini akaichakachua na kuongeza onde
 
Baba yake alikuwa waziri sasa sijui mshikaji alikosea wapi anahangaika uzeeni? sialikuwa india juzi huyu hayo maupasuaji tayari yamepona kwa ajili ya kukata kiuno/kudemka? Muda umeshampita bila yeye kujitambua anafikiri bado baba waziri kachezea maisha hana family bora yeye bora maisha na mitandao tu huyu hafai hata kuwa mshenga aibu kwake na demu wake chai jaba.
Kuteleza sio kuanguka, baada ya Lemutuz mara kadhaa kula hela za michango ya harusi yake kwa bahati mbaya hatimaye gwiji la mitandao ya kijamii ukanda huu wa maziwa makuu limefanikiwa kuvuta jiko, mtoto guu guu, super mtindi yaani Kardashian huyu hapa.
Ndoa hiyo iliyofanyika downtown Bongo ilikuwa ya watu wachache sana ambayo ilifuatiwa na sherehe fupi , baadae maharusi waliingia ndani ya Noah ya Lemutuz kuelekea hotelini kwenye fungate.
Bibi harusi inatajwa pamoja na mambo mengine inawezekana akachukua nafasi ya juu ya utendaji katika moja ya makampuni makubwa yanayomilikiwa na gwiji hilo, huku wadadisi wa mambo wakidai huenda akawa mkurugenzi mtendaji wa chombo kikubwa cha habari hapa nchini yaani BLOGU YA WANANCHI.
View attachment 1771598View attachment 1771599

Pita hapa chini kutoa neno la pongezi kwa maharusi hawa.
 
Lemutuz pamoja na kuwa na baba mwenye uwezo alipoteza muda wake ughaibuni na kurejea akiwa hana lolote wala lolote. Ama kweli kuna kipindi simba anaweza kuzaa mbwa! Kwa umri huu na mtoto mdogo ambaye ni umri wa binti yake atapata nini zaidi ya presha? Somo ni kwamba kuna haja ya kusoma alama za nyakati.
Mzee umesahau stori yake ya kutoroka ughaibuni na kibukta huku chini kapiga ndala???
 
Back
Top Bottom