Kamanda uliyechoka,ujenzi wa chama hufanywa na wanachama wenyewe,na wenye moyo na wapenda haki na uhuru wa kweli.Na sii mamluki.Kumbuka mama chama chetu kinawashabiki wengi ni wamachinga na bodaboda.
Hata mamluki Lowassa alipata kura nyingi zetu wamachinga na bodaboda.
Chama chetu kimeleta biashara kwenye kadi wakati hatuna pesa. Ili kutusaidia ruhusu mzunguko wa pesa na tuweze kununua kadi kwa sh 2500.