Yaani ndalichako ana kitu kichwani cha msingi sana. GPA hata wazazi walichanganyikiwa mtoto wa sekondari GPA na chuo kikuu again GPA sasa yatosha elimu irudi kama kipindi kileee cha miaka yetu
Kutokana na badiliko la hali ya hewa na vyakula tunavyokula kwa sasa mi nadhani kuanzia siku ya 10-16 inaweza kuwa hatari kwa kupata mimba. Napita zangu mitaani miee
Mkude inaonyesha mama mwenye nyumba mkorofi ndo maana unaogopa kesi. Cha msingi mi nashauri kaa nae dogo mweleze najua atakuelewe na pia u can move and see another room tena sio mtaa huo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.